komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mumewakomboa akina nani km tanzania[emoji1787][emoji1787]Tz imekomboa nchi nyingi hapa Africa na ndiyo maana huwa nacheka sn eti watu wakijaribu kumuweka Mandela level moja na Nyerere it's totally absurd.
Baada ya kuwakomboa mkawapa uhuru mwaka gani