Sahv naona wamefungua turbo [emoji3][emoji3]
Nashindwa kuiangalia hii video.guys, kumbe hamjaweza kuiona hii video!!
angalien hii video.. hipo kwenye hii thread
Tanzania Ya Viwanda: Assembly plant ya magari ya mizigo aina ya FAW
GF Vehicle Assemblers LTD imekuwa company ya kwanza ya KISASA TANZANIA kuunganisha(Assembling) magari Kiwanda kama ulaya, from start to finish kila kitu hapa hapa. Tunafuraha Sana, kuona maendeleo hapa nchini, maendeleo ya kijamii kwenye sector yetu ya trucks. Wenzetu wanasubiria magari toka...www.jamiiforums.com
Wanadhani ni masiala [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kwenye hio list, accounts tatu ndo zimeizidi simba sc.. imagine timu kubwa baran ulaya zinazidiwa followers na simba sc
Uganda ilishiriki vita vyote, vita vya kuikomboa South Sudan toka North Sudan na vita vya wenyewe kwa wenyeweWewe unaongea kuhusu muda upi? Unaongea kuhusu kabla au baada ya SS kupata Uhuru?
Kenya ndio ilichangia sana kushinda nchi yoyote Afrika kwa South Sudan kujitenga kutoka Sudan. Hata John Garang alikuwa anaishi Kenya na familia yake pia ilikuwa inaishi Kenya. Halafu peace Agreement ya kwanza kabisa ambayo watu wa SS walisign ili kuwaleta pamoja wapiganaji tofauti wa SS, nadhani mwaka wa 2005, ulisainiwa Naivasha hapa Kenya. Kwa hivyo sisi tumechangia pakubwa kwa SS kuwa nchi huru kushinda nchi yoyote ile. Endeleeni na wimbo wenu wa CCM "Tuliikomboa Afrika."
Kenya ndio ilichangia sana kushinda nchi yoyote Afrika kwa South Sudan kujitenga kutoka Sudan. Hata John Garang alikuwa anaishi Kenya na familia yake pia ilikuwa inaishi Kenya. Halafu peace Agreement ya kwanza kabisa ambayo watu wa SS walisign ili kuwaleta pamoja wapiganaji tofauti wa SS, nadhani mwaka wa 2005, ulisainiwa Naivasha hapa Kenya. Kwa hivyo sisi tumechangia pakubwa kwa SS kuwa nchi huru kushinda nchi yoyote ile. Endeleeni na wimbo wenu wa CCM "Tuliikomboa Afrika."
Hii ndio ilipiga kisumu KO asubuhi mapemaMwanza iko poa snaaaa[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1663977View attachment 1663978View attachment 1663979View attachment 1663980View attachment 1663981View attachment 1663983
Really?
Kama Kisii ndio ilishapa Mwanza 10-0. What do you think Kisumu will do to Mwanza?[emoji23][emoji23]Hii ndio ilipiga kisumu KO asubuhi mapema
Ilichapia wapKama Kisii ndio ilishapa Mwanza 10-0. What do you think Kisumu will do to Mwanza?[emoji23][emoji23]
HereIlichapia wap
[emoji23][emoji23]Here
Miss KisiiKama Kisii ndio ilishapa Mwanza 10-0. What do you think Kisumu will do to Mwanza?
Na wao bila aibu huwa wanathubutu kushibdana na Tz kwenye urembo hahahaaaa.
Happy new year to all albino hunters in this thread.Na wao bila aibu huwa wanathubutu kushibdana na Tz kwenye urembo hahahaaaa.
Umeshaishiwa
Unaniita Maku? Au ulimaanisha ya mamako? Jiulize mbona flag ya South sudan inafanana na ya Kenya. Kama nyie ni muhimu kwao mbona hawakucopy flag yenu?Acha upumbavu wewe "MAKU"!
John Garang, alisomea kwanzia Secondary Tanzania na pia Dar es salaam University, na baada ya kuhitim na kwenda nje alifuindisha pia hapo UD.
"He joined the rebel forces in the First Sudanese Civil War in 1962, but was encouraged to continue his education, first in Tanzania and then, after winning a scholarship, to study economics at Grinnell College in Iowa, USA. He returned to Tanzania to read East African Agricultural Economics as a Thomas J Watson Fellow at the University of Dar es Salaam (UDSM), where he joined the University Students’ African Revolutionary Front." for more on John Garang
He might have lived there but isnt where real shit begun.
Tanzania is a real Revolutionary land. Nearly no significant figure much respected by the world today never lived or worked in Tanzania - from: Che Guavara, Mandela, Martin Luther King, MalcomX to Vlamir PUTIN.