The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Siumeona kitu mpya hyo, ss na nyie mujifunze utaratibu wa kununua vitu vipya co mtumba tu lkn pia kama unataka mambo ya ulaya tuanzie hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Iko na mpaka tangazo ya kumuita Venus star[emoji350][emoji350][emoji350]
View attachment 1663849
Survey hahaha halafu unaleta data za 2019 wapi 2020
2020 is a death of Kenya
Picha kali sn hii ameweka huyu monkey wakuu nishai save kwa matumizi ya baadae[emoji3][emoji3][emoji3]Iko na mpaka tangazo ya kumuita Venus star[emoji350][emoji350][emoji350]
View attachment 1663849
Pwahahaha corona imewazika kabisaSiku Tanzania Aviation Authority and Kenya Airports Authority will release their 2020 data I'll update you. As for now we are using 2019 data juu 2020 bado haijaisha[emoji23][emoji23][emoji23].
JKIA - 8.3m passengers
All Tanzanian airports - 5 million passengers
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 1663866View attachment 1663867
Commuter train hutaki tena.Siumeona kitu mpya hyo, ss na nyie mujifunze utaratibu wa kununua vitu vipya co mtumba tu lkn pia kama unataka mambo ya ulaya tuanzie hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1663863
Ya 2020 hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Hello, are you there?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]JKIA - 8.3m passengers
JNIA - 2m
All Tanzanian airports - 5.5m
[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1663859View attachment 1663860
Wacha uongo, Uganda ndio walichangia zaidi, wao walipekeka Jeshi na kuwapa silaha, majeruhi wote wa vita walipelekwa Uganda, 80% ya silaha zao zilitoka Uganda na mafunzo ya wanajeshi wa South Sudan yalifanywa na UPDF, Kenya ninyi ni maneno matupu, zaidi ya wakimbizi kuishi Kenya na kufanya mazungumzo ya upatanishi, nini tena mlisaidia South Sudan?Kenya ndio ilichangia sana kushinda nchi yoyote Afrika kwa South Sudan kujitenga kutoka Sudan. Hata John Garang alikuwa anaishi Kenya na familia yake pia ilikuwa inaishi Kenya. Halafu peace Agreement ya kwanza kabisa ambayo watu wa SS walisign ili kuwaleta pamoja wapiganaji tofauti wa SS, nadhani mwaka wa 2005, ulisainiwa Naivasha hapa Kenya. Kwa hivyo sisi tumechangia pakubwa kwa SS kuwa nchi huru kushinda nchi yoyote ile. Endeleeni na wimbo wenu wa CCM "Tuliikomboa Afrika."
Ya 2020 hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1663890View attachment 1663891
Because Kenyans themselves are used to be connedThe funny thing ni kwamba mtanzania is complaining on behalf of Kenyans at the top of his voice from his house in Gongo la Mboto [emoji23] [emoji23]
Tunakwenda kuwa India ya East Africa na Afrika kwa ujumla.Wanajilinganisha na Tanzania
Coming soon [emoji1241][emoji1241][emoji541]
View attachment 1663871View attachment 1663872View attachment 1663873View attachment 1663874View attachment 1663875View attachment 1663877View attachment 1663879View attachment 1663881View attachment 1663884View attachment 1663885View attachment 1663886
The biggest and most beautiful Airport in EAC, JNIA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiwahitaja hicho kibanda ya kuhudumia abiria milioni moja penye big men like JKIA and Bole are being mentioned[emoji23][emoji23][emoji23]
Your dreams are invalid[emoji1787][emoji1787][emoji23]The biggest and most beautiful Airport in EAC, JNIA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Speed ni kali sana, funga seat beltsTunakwenda kuwa India ya East Africa na Afrika kwa ujumla.
Kwa hivyo mazungumzo ya upatanishi ni mavi mtupu. Kuhost wakimbizi wa SS ni upuuzi mtupu. Haina umuhimu wowote? Sisi kuwaleta mirengo tofauti yaliyokuwa yanapigana against each other into one group ni upuuzi mtupu? Kama Riek Machar na wenzake hawangekubali kumuunga mkono kiongozi mmoja (John Garang) basi nchi hii mpya ingepatikana kweli? Bila umoja hakuna progress ambayo ingefanyikaWacha uongo, Uganda ndio walichangia zaidi, wao walipekeka Jeshi na kuwapa silaha, majeruhi wote wa vita walipelekwa Uganda, 80% ya silaha zao zilitoka Uganda na mafunzo ya wanajeshi wa South Sudan yalifanywa na UPDF, Kenya ninyi ni maneno matupu, zaidi ya wakimbizi kuishi Kenya na kufanya mazungumzo ya upatanishi, nini tena mlisaidia South Sudan?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kusema ukweli huwa nakaa nafikiria sana kwamba hivi hzi train zenye vichwa kama vya mbogo za sgr ya Kenya ndizo zilikuwa kwenye mkataba kweli? Au serikali yao iliona kwamba gharama ya kununua trains za kisasa itawaongezea gharama za sgr na na hivyo mchina anaweza akaendesha hilo shirika lao la reli (KRC) kwa miaka 50 hivyo wakamwomba tu mchina awaletee trains zozote za bei nafuu.
Huku kwetu wapo ila Watz ni intelligent hawawezi kufanya huo ufala [emoji3][emoji204][emoji86][emoji87][emoji85]Kusema ukweli huwa nakaa nafikiria sana kwamba hivi hzi train zenye vichwa kama vya mbogo za sgr ya Kenya ndizo zilikuwa kwenye mkataba kweli? Au serikali yao iliona kwamba gharama ya kununua trains za kisasa itawaongezea gharama za sgr na na hivyo mchina anaweza akaendesha hilo shirika lao la reli (KRC) kwa miaka 50 hivyo wakamwomba tu mchina awaletee trains zozote za bei nafuu.
Mchina alivyokuwa na akili mbovu wala hata hakuangaika walikwenda tu kwenye museum yao ya trains na kuchomoa hivyo vichwa vya mbogo nakuwaletea wakenya. Haiwezekani ujenge reli kwa gharama kubwa hivyo halafu ushindwe kununua trains za kisasa. JAMANI MCHINA SI MTU MZURI KABISA UKIMWACHA AFANYE ANVYOTAKA YEYE. ๐ ๐ ๐ ๐
Ndio maana tulikataa mkopo wao wa SGR yetu na ujenzi wa bandari ya bagamoyo. Sisi miradi yetu tunayowapa wachina kujenga tunawasimamia barabara kabisa maana tunawajua uhuni wao ukiwaacha wafanye wenyewe. Kinachowaletea shida hawa jirani zetu ni rushwa na ukiritimba uliokithiri. Wapo radhi kuweka nchi yao rehani kwa sababu ya njaa za watu wachache!Huku kwetu wapo ila Watz ni intelligent hawawezi kufanya huo ufala [emoji3][emoji204][emoji86][emoji87][emoji85]
[emoji122][emoji122] [emoji1241]
Naona wameshaifuta hii thread.