Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Casino gani umeweka hapa sasa wewe? Unaleta Restaurant, Lounge na Bar unaziita Casino. Wewe mshamba nini!?

Gø and sleep Shell head...........hiyo princess ndio mnapost hapa mara kumi ati dar has many casinos.......
 
Gø and sleep Shell head...........hiyo princess ndio mnapost hapa mara kumi ati dar has many casinos.......
Kwikwikwikwi. Hapa kuna Casino nyingi tu hapa dar mfano:-
1. Le Grade Casino
2. Las Vegas Casino
3. New Africa Casino
4. Sea Cliff Casino
5. Kilimanjaro Casino
6. Princess Casino
7. Premier Casino
8. Sansiro Casino
Na zipo zingine nyingi tu zingine zipo Under Construction. Hapo mfano tu dogo.
 
07-24-26-19121999_461821324179261_5890184481209319424_n.jpg
 
Kwikwikwikwi. Hapa kuna Casino nyingi tu hapa dar mfano:-
1. Le Grade Casino
2. Las Vegas Casino
3. New Africa Casino
4. Sea Cliff Casino
5. Kilimanjaro Casino
6. Princess Casino
7. Premier Casino
8. Sansiro Casino
Na zipo zingine nyingi tu zingine zipo Under Construction. Hapo mfano tu dogo.
pam beach casino umesahau
 
comrade annael naona unawanyosha...
 
Nimekueleza usituletee bars hapa. Tunataka Casinos. Ukitaka tukuwekee na Loundge hapa si utakimbia? Sio kila kwenye Slot Machine ni Casino. Usinifanye nicheke wewe.

You nincompoop. .....
who are you to oppose any credible source. .........wewe bar umeona wapi.Youre just thick
 
fungua tu usijali mipo kwa ajili yako😀😀😀😀😀
tayari walishafungua thread kadhaa za kupambanisha miji yetu na yao.

bahati mbaya sana thread zao zinakosa mvuto kwasababu wanazifungua kwa jazba,zinapata wachangiaji wachache.

mwisho wa siku "zinabuma" na wanarudi kwenye thread hii aliyoanzisha mtz Annael.

hapa ni mtakuja street,watazunguka kote, hapa hapakwepeki.
 
hahaha kinachowaumiza kichwa ni kuona maendeleo makubwa kwa muda mfupi sana😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom