Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo casino inapatikana Kisii ndio fala anafloss nayo hapa...smh. Nimeona pia wameanza kuchanuka na kuunda apartments. ....hahaha. just copy us neighbours msiogope. ...
unafkiri nimemaliza casino au tuanze mm nawewe casino in bongo vs casino in nai alaf uone kama utatoka
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
kma uko tayari tuanze sasa hvi
 
unafkiri nimemaliza casino au tuanze mm nawewe casino in bongo vs casino in nai alaf uone kama utatoka
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
kma uko tayari tuanze sasa hvi
Huyu jamaa nadhani ameukuta uzi huu mbele sana. Kwa Casino asiseme tena. Dar casino zipo za kumwaga nabado nyingine nyingi tu zinajengwa. Dar es salaam is everything.
 
Huyu jamaa nadhani ameukuta uzi huu mbele sana. Kwa Casino asiseme tena. Dar casino zipo za kumwaga nabado nyingine nyingi tu zinajengwa. Dar es salaam is everything.
ngoja ajiingize 18 mwenyewe alafu aone sasa kwanini bata akinya anaambiwa ameharisha
 
New Africa Casino (Dar es salaam)

newafricacasino.jpg

kairo.jpg

new-afirca.jpg

new-africa-casino.jpg

Soma maelezo zaidi hapa:_

New Africa Casino, a casino in the city center of Dar es Salaam
 
Hivi kwanini kila mkenya had wasomi mkija bongo mnaiponda sana nchi yenu na tena mnataka na Mugufuli akawe rais wenu...mnashida gani mnayoshindwa kuitatua wenyewe.!..mfano mzuri ni Lumumba juz
 
Ovyo hakuna kitu. Unatakiwa ukubali bana. Nairobi haiwezi kuifikia Dar kwa Casino. Ona sasa umeanza kuaibisha. Mimi nakuwekea na source, references lakini wewe unalialia kama mtoto.
So kwa upande wa Casino Dar ipo juu. Leta issue nyingine usije ukajiabisha bure hapa.
sea cliff casino bongo
99347390.jpg
99347266.jpg
 
Back
Top Bottom