President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,636
- 94,261
Sijakuuliza mashamba. Mbona unabadili swali!? I asked you private houses.Kwa hivyo unataka proof gani za umiliki. Mjinga wewe. Unadhani mimi nafanya kazi ndani ya wizara ya ardhi ili nikuletee title deed za mashamba zote Kenya? Ama unataka nikuletee ushaidi upi? Picha? Maana picha sio ushahidi.
😀 😉Hatunaga hizo pigo sisi, hata wao wenyewe wanajuaNendeni na nyie mkajipendekeze waanze kuwapenda pindi watakapoanza kutuchoka
Sheria za nchi ni 16% pekee inakuwa ni public. Usituletee pigo za kishamba za wakunya toka kunyalandWewe unachanganya publicly listed companies na government owned companies. Airtel ni publicly-listed but the public owns less than 50% of the shares kwa hivyo private investors bado wanamiliki more than 50% of the shares na wao ndio wanaocontrol the company.
Ushahidi huo nitautoa wapi? Bado hujajibu swali langu.Sijakuuliza mashamba. Mbona unabadili swali!? I asked you private houses.
Yaani Nyumba za makazi. Niwekee hapa kwa ushahidi mbona umeanza Julia lia kama mpumbavu!!!!
Hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Nasema tena dar ipo moja tena ya msaada, unapinga.View attachment 1662725
Zaidi ya 50%? Naomba ufahamu kuwa katika sector binafsi, yeyote anayemiliki zaidi ya asilimia hamsini (50%) ya shares ya kampuni ndiye anayecontrol kampuni.Serikali ndio yenye share Kubwa AIRTEL,
Hujui finance all those companies u just mentioned r not private as they r required to file their quarter earnings and make them public! Public company u don't need!Wewe unachanganya publicly listed companies na government owned companies. Airtel ni publicly-listed but the public owns less than 50% of the shares kwa hivyo private investors bado wanamiliki more than 50% of the shares na wao ndio wanaocontrol the company.
Hio overpass ni kilometre ngapi?Hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1662731
Anzisha twende kazi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Utaweza hii league kweli
Kwa hivyo Tanzania nyie hamna private companies kubwa? Ndio maana nimekuwa nikisema kuwa private sector ya Tanzania ni ndogo sana.Hujui finance all those companies u just mentioned r not private as they r required to file their quarter earnings and make them public! Public company u don't need!
Punguza ufalamanga!
Kama umeshindwa kaa kimya mpumbavu wewe.Ushahidi huo nitautoa wapi? Bado hujajibu swali langu.
Chukua hioAnzisha twende kazi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Ww ***** master hyo ni stand ya kisasa kabisa itakayojengwa Dodoma, hapa Afrika zipo chache km hizo, yn treni itakuwa inaingia ndani humo na kila kitu kitamalizika humo humo, ngj mje mshangae shangae Europe ndg [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Hii nyumba ya mganga inatisha sana.
View attachment 1662728
Unaniuliza mm ss, sisi hatuwezi weka uchafu nchini kwetu[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Hio overpass ni kilometre ngapi?
Ondoa ufala basi ujue ninakuheshimu sana sitaki nikujibu vibaya.Kwa hivyo Tanzania nyie hamna private companies kubwa kama zetu? Ndio maana nimekuwa nikisema kuwa private sector ya Tanzania ni ndogo sana.
Huyu uchungu umezidi, leta hoja sio emotions.Ipige mbali hivyohvyo mama nimatofali mepanga mnaita flyover.....kiukwel unatusingizia hatun kitu kama icho kabisaaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
Wasafi media ondoa kwenye listi. Wacha ujinga. Hio ni kampuni ndogo sana.Ondoa ufala basi ujue ninakuheshimu sana sitaki nikujibu vibaya.
1. Wasafi Media
2. Azam marine
3. Mohamed enterprise
Ondoa upumbavu basi tuongee vitu vya maana.
Unanitafuta nitakudhalilisha wewe endelea tu. Ninakustahi tu.Hahaha
Cc Venus Star