Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
kwa quality mbofumbofu na gharama maradufu sio!Hahaha. Kama Malazy wangempa Mchina huu mradi wa SGR basi mradi wenyewe ungekuwa ulishakamilika mwaka uliopita kulingana na ratiba. Lakini Mturuki amepitiliza deadline ya 2019 na sasa 2020 pia imeisha kabla ya kilomita 200 kukamilika.
Geza Ulole joto la jiwe
naona mnaiga model y NSSF towers sio?
Hamna. Quality iko chini. Hata size ya Dar station ni ndogo.Quality vs Design [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna. Hii ni tower moja. NSSF towers zipo mbili. Kwa hivyo hatuigi lolote.naona mnaiga model y NSSF towers sio?
Usisahau Kenya tunaproduce maziwa mengi kuwashinda. Nyie mumeanza kuunda hivi viwanda juzi tu. Hampo ligi yetu.another milk factory in Tanzania, why not kenya? livestock & people population, EAC & SADC and free competition
View attachment 1662254
35 tonnes Axel load .vs. 25 tonnes loadWewe unasema nini? Umeona stations zenu jinsi zinavyofanana?
Tuongee kuhusu stations babaa.35 tonnes Axel load .vs. 25 tonnes load
Full automatic driving System .vs.
Manual driving System.
10,000 tonnes per train .vs. 4,000 Tonnes per train
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua maana ya Quality?, mbona mara unataja design, mara Size ya stations. Unajua Dar Station ina ukubwa wa Square meter ngapi vs Nairobi station?Hamna. Quality iko chini. Hata size ya Dar station ni ndogo.
Hivyo nilivyotaja ndio vinavyohusika wakati wa kuangalia ubora wa Railway[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuongee kuhusu stations babaa.
Ulimaanisha Gross domestic product?Wakenya wamekuwa wanyoonge mno.
Hawana cha kutuonesha imebaki kelele ya Global Domestic Product, which has nothing to do with economic wealth.
Na mbona haijakamilika bado? Naona Mturuki anazidi kuwachezea shere.Hivyo nilivyotaja ndio vinavyohusika wakati wa kuangalia ubora wa Railway[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nashindwa kukuelewa mkataba was ujenzi wa reli yetu toka Dar mpaka Morogoro ni miezi 36, wapo ndani ya muda. Wanategemea kukabidhu 2021 mwezi wa saba.Na mbona haijakamilika bado? Naona Mturuki anazidi kuwachezea shere.
Katika usafiri wa barabara, vitu vinavyoangaliwa ili kuthaminisha ubora wa usafiri wa barabara niNa mbona haijakamilika bado? Naona Mturuki anazidi kuwachezea shere.
Kwasababu wanazingatia ubora wa kazi, sio kama huko kwenu, mvua kidogo tu, kingo za reli zinaondoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mbona haijakamilika bado? Naona Mturuki anazidi kuwachezea shere.
Ilikuwa ikabidhiwe mwisho wa 2019. Wacha uongoSasa nashindwa kukuelewa mkataba was ujenzi wa reli yetu toka Dar mpaka Morogoro ni miezi 36, wapo ndani ya muda. Wanategemea kukabidhu 2021 mwezi wa saba.
Tuliza hicho kikeketwa muda ukifika utakunwa tu.
Kwa hivyo wana ruhusa ya kuijenga hadi mwaka wa 3020 bora tu quality iwe juu?Kwasababu wanazingatia ubora wa kazi, sio kama huko kwenu, mvua kidogo tu, kingo za reli zinaondoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm nawashangaa sana Wakenya, wanalalamika kwamba reli yetu imechukua muda kukamilika wakati yao imeanza kabla yetu na haijaisha mpk leo.Sasa nashindwa kukuelewa mkataba was ujenzi wa reli yetu toka Dar mpaka Morogoro ni miezi 36, wapo ndani ya muda. Wanategemea kukabidhu 2021 mwezi wa saba.
Tuliza hicho kikeketwa muda ukifika utakunwa tu.
Kama unafuatilia vizuri, utagundua kwamba wamesema watakabidhi April 2021. Bora kuchekewa kuliko kufanya haraka lakini chini ya kiwango kama huko Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hivyo wana ruhusa ya kuijenga hadi mwaka wa 3020 bora tu quality iwe juu?