Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Nchi inapokea Backpackers mwenye Godoro la kulalia popote na hadi bakuli la kupikia popote alipo. Hata yupo radhi atembee au aombe lift, Atalipa tu vijisenti kwenye entrance au Hiyo 50 Usd ya Visa.

Hotel zenu au Hospitality business zingine zitaisikia kwenye bomba hela zake. Kwa nini usipokee hivyo Vidollar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].





Tourism in Middle income Country.[emoji41]

Low density, High Quality, High Priced tourist products.

Angalia hapa hizi ndege Parking na Landing fees tu kwa siku hapo mtonyo wake ni backpackers laki tano Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…