Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endeleeni kuagiza flavourful rubbish from China mkijidanganya ninyi mahodari wa ng'ombe wa maziwa
Ng'ombe wako wapi wkt dunia nzima inajua kwa Africa hii nchi yenye ng'ombe wengi ni Ethiopia inafatia Tz [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ng'ombe wako wapi wkt dunia nzima inajua kwa Africa hii nchi yenye ng'ombe wengi ni Ethiopia inafatia Tz [emoji3][emoji3][emoji3]
😅😅😅 Nataka aje anioneshe haya maziwa yametoka kwa ng'ombe gani
Wanachezewa shede na uhuru wanafikiri ni wote wanaweza kuwa fooled kama wao 😅😅😅

 
Kenya imeshinda Tanzania kwa milk production hyo ndio point
Yani hata unajiskiliza mwenyew? Ivi ng'ombe wengi wako Tz alfu maziw mengi muwenayo nyie? Narudia bongo data za maziwa hazijakusanywa vyema...wanachukua tu kwa wale wazalishaj wakubwa kama Tanga fresh, azam, asas na wengine...lkn kuna commoners wenye ng'ombe weng tu ila serikali haina data zao....so mnatushinda kwa kukusanya data sio kwa kiwango cha maziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…