King kiba aka mofaya akiwa ndani ya benz G series👇👇👇
View attachment 1659553
so r u trying to say Ali Kiba can't afford that car? If a radio presenter Koinange in Kenya can afford, how about a top 5 artist in East Africa with a list of endorsements? unakuwa falamanga aisee!Hiyo amehire tu.
Hehhehehe hvi wewe kiba unamchukuliaje ??????😅😅😅😅Hiyo amehire tu.
Hizi ni vitu za kuona na machoUkipata neno top 3 naomba nijulishe plz 🤣🤣🤣🤣🤣
Watu waliotelekezwa na familia yao au walioachwa na wazazi wao wakiwa katika hali ngumu unataka waishi maisha mazuri vipi...tatizo unadharau mayatima yaani akili yako imewaza kuwa mtu yatima ndiye mtu anayeishi na ufukara ,wakati wapo tena wengi tu wana good life.....
yaani ulivyonijibu hapo awali kama kwamba hapo nairobi au kenya kwa ujumla wanaoishi kwenye maisha magumu ni yatima pekee..
uache hizo mambo za kuchukulia poa yatima
Enjoy kijanaWeka picha ya Nyerere bridge.
Nn mzee babaduuh
Yani hao jamaa ni mafala sana 🤣🤣🤣so r u trying to say Ali Kiba can't afford that car? If a radio presenter Koinange in Kenya can afford, how about a top 5 artist in East Africa with a list of endorsements? unakuwa falamanga aisee!
huwa hujaribu kufananisha wanamuziki wetu na wao mtu mpaka ana products zake, label na super studio huyu fala anadhani kachoka kama wanamuziki wao!Hehhehehe hvi wewe kiba unamchukuliaje ??????😅😅😅😅
Mtu anamiliki majumba ya kifahari ashindwe kumiliki hio benz👇👇👇
🤣🤣🤣🤣🤣huwa hujaribu kufananisha wanamuziki wetu na wao mtu mpaka ana products zake, label na super studio huyu fala anadhani kachoka kama wanamuziki wao!
Kama kuna msanii wa kenya ana studio kama hii unitag👇👇👇Hiyo amehire tu.
enjoy x.massNn mzee baba
af mi nashangaa wanapataga wapi nguvu ya kuitunishia msuli tasnia ya sanaa tanzaniaKama kuna msanii wa kenya ana studio kama hii unitag[emoji116][emoji116][emoji116]
Pesa anatoa wapi? Mziki tu?Huu msikiti umejengwa na kiba 👇👇👇
ivi showz za wasanii zmesharuhusiwa apo naii?Hiyo amehire tu.
Huyo gigi money ndio nani? Halafu mbona siku hizi wasanii wa kike wamekosa nidhamu kabisa. Yaani zamani wasanii wa kike walikuwa wanatengeneza pesa kwa kuimba kwa sauti ya ninga kwa mfano Nyota ndogo. Lakini siku hizi wanatengeneza pesa kwa kupanua miguu na kuonyesha watu makalio hadi mtu anaweza kuona mavi. Yaani wamekosa talent kabisa.ivi showz za wasanii zmesharuhusiwa apo naii?
[emoji116][emoji1241][emoji1241]huyu gigymoney anatengeneza pesa kuliko avrilView attachment 1659609
Huyu ana biashara nyingi sana mzee wasanii wa tanzania hawategemei mziki tu mzee🤣Pesa anatoa wapi? Mziki tu?