Ksh 30 ni sawa na mia sita hvi kaaaahπ
hawa watu nyuma ya twitter wana maisha ya hovyo sana duniani.Haya maisha ni magumu kupitiliza!!
Kwanza nawaza chakula cha 30ksh ni chakula gan sijui alikula mandazi.??
afu kama chakula cha 30 ndio cha kristmas huyu mtu siku za kawaida anatumia shngp kwa chakula na anakula nn??
Au ndo leo nakula kesho sipati chakula kesho kutwa majaaliwa?? Nchi ya gdp bana ndo mana me naiita nchi ya kusadikika.
Tatu bora π π πSisi matajiri sisi nye nye nye π€£π€£πππ
View attachment 1658929
Ukiwambia nimafukara walio kidthir wanalialiaEwaaaaa hapa sasa sawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116] Geza Ulole njoo uone huku watu wamefumga mwaka na muitunze hii itasaidia
Ukiniwekea ushahidi kwamba huyo ni mkenya nahama jamii forums amini ninachokwambia, nahama ss hv, ww weka ushahidi kwamba huyo ni mkenya ili niondoke jamii forums.Mbona unatumia picha ya Mkenya kama avatar yako?
Hakuna na haitowahi kutokea mtz wa ss atoke Tz eti aende kenya kusaka life hakuna hicho kitu, Watz wote tunajua Kenya ni jehanam ndogo hapa duniani.Hahaha!!povu la kimataifaa hili, kwhyo mtu aliyeingia nchini kinyamela na kuanza kuzurura na kufanya vibarua vidogo vidogo atakua ni raia halali sio[emoji1787]
Kwanza bado kuna watanzania wengi sana ndoto zao ni kuja wa hustle kenya walau kw mda mchache angalau nao watoke ila kwa wengine mambo huwa magumu zaidi..
Tumeamua iwe hvyo so hizo nchi zingine nazo ni juu yao kufanya km cc, kuna sheria zipo America lkn hazipo Tz so huwezi kufanya kitu kwa kuangalia mwenzio anafanya nn.Tanzania tuachage ubaguzi. Kuna walimu wangapi wa kitanzania huko nje ya nchi? Haya ni mambo yakizamani kwa kweli.
Labda kwako, lkn ukwel haubadiliki..Hakuna na haitowahi kutokea mtz wa ss atoke Tz eti aende kenya kusaka life hakuna hicho kitu, Watz wote tunajua Kenya ni jehanam ndogo hapa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ukiona masai basi ni mtanzania!!..hivi ulisoma shule gani?Labda kwako, lkn ukwel haubadiliki..
Yani kuanzia masai mpka wengine wote kenya wamerundikana..
Tena wanafanya kazi za mikono tu
Kwnz huu upumbavu mm siutaki kabisa, yn sitaki kusikia ushuzi wa sijui superiority complex yn sitaki kabisa, Wakenya ni ******* sn, nani aliwaambia kwmb Tz inahisi Kenya ipo juu? Sitaki kabisa kusikia uvundo huu.[emoji375] nyundo kubwa sana hii [emoji23]
Ww unafanya kazi za miguu au.Labda kwako, lkn ukwel haubadiliki..
Yani kuanzia masai mpka wengine wote kenya wamerundikana..
Tena wanafanya kazi za mikono tu
Kwa kawaida huyo huwa anatumia makalio kufikiri.Kwa hiyo ukiona masai basi ni mtanzania!!..hivi ulisoma shule gani?
Mmmmh mtanzania na Kenya wapi na wapi? Watanzania wana history ya kuzamia SA na nchi nyingine za kusini tena ni zamani, sijawahi kusikia mkasa wa mTanzania kwenda Kenya kutafuta maisha hata siku 1 na utu uzima huu nilionao,Labda kwako, lkn ukwel haubadiliki..
Yani kuanzia masai mpka wengine wote kenya wamerundikana..
Tena wanafanya kazi za mikono tu
Hahahaha Ethiopians na Somalians wana maisha mabovu kupindukia lakini kila siku tunawakamata Tanzania wakielekea SA, huyu ngedere anasema watanzania wanaishobokea Kenya, kwa hiyo Ethiopians na Somalians wana maisha mazuri kuliko watanzania? Wao waone Kenya ni takataka sie tuone Kenya kwa maana? Hajielewi
Waangalie video hii wajionee Tanzania ilivyo na balanced development, Tanzania rural huko lakini umeme upo wa kumwaga, maji Safi, modern housings, barabara lami ya kiwango, utunzaji wa mazingira uliotukuka, hali ya hewa nzuri na mandhari ya kuvutia hakika Tanzania yapendeza πΉπΏπΉπΏπΉπΏMara Region Tanzania
Aise,sweet home Tarime yaani ni kijani all year around β₯οΈπΉπΏMara Region Tanzania
Hata mitaro hakuna..hiyo road haitakaa mwaka bila kupasuliwa na majihamna markings wakati upande wa kulia wanaonekana wamepachika kipande! Hii ndo standard ya kenya sishangai halafu ni kama kuna nundu flani hivi!