Hahaaa!!wengine hapo ni wale omba omba wenu, wanakuja kenya kulala kw streets mambo yanapokua magumu..kwa hiyo yatima wapo kenya tu....?
sababu ya uyatima ndiyo walale kwenye nguzo za fly over...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
usinichekeshe mie
Kisha uwe na adabu ndiposa ujifunze yatima asiyekua na familia wala pa kwenda..kwa hiyo yatima wapo kenya tu....?
sababu ya uyatima ndiyo walale kwenye nguzo za fly over...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
usinichekeshe mie
CC: Tony254🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Second hand zimeanza kubuma
Wacha kabisa mkuu, tunajishusha kuweka battle na failed state km Kenya, hii co ligi yao kabisa, washidane na failed wenzao kina Somalia, DRC, n.k.[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waendeleee kuzungumzia GDP yenye madeni zaidi ya 86% 🤣🤣Kwa hiyo Bongo ilishatoka LDC ila hawa wakulungwa wapo Failed state forever? Nakumbuka miezi kadhaa nyuma ukiwaambia hivyo wanasema na nyie mtatoka lini LDC? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mwaka huu Bongo Imepangua mengi sana[emoji23]
Usd Dollar Millionaires
Electricity
Tupo MIC
Internet kwa wote
Imebaki wimbo mmoja tu GDP [emoji23]
That's a KWS ranger! KDF na wanyama wa porini lini na wapi??View attachment 1658084askari wa Kenya(KDF) bwana😂😂
Ndiyo kitu pekee kinasaidia kuwaongezea umri wa kuishi humu jf [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo Bongo ilishatoka LDC ila hawa wakulungwa wapo Failed state forever? Nakumbuka miezi kadhaa nyuma ukiwaambia hivyo wanasema na nyie mtatoka lini LDC? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mwaka huu Bongo Imepangua mengi sana[emoji23]
Usd Dollar Millionaires
Electricity
Tupo MIC
Internet kwa wote
Imebaki wimbo mmoja tu GDP [emoji23]