Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ngoja aangaike huko google kutafuta ushahidi ila mwisho wa picha tunamkamata mwizi mchana peupe[emoji3][emoji3]
Heheeeee!!huamini macho yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kampuni ya 300 trucks sio mchezo, tena marekani wameajiri mpka wazungu[emoji122][emoji122][emoji122]..

Emu pinga utuonyeshe km hyo kampuni ni ya nani?
 
Umeoanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kampuni inamilikwa na wakenya hyo, tafuta visa ukaajiriwe manake pia kuna wafanyikazi wa kutokea EA[emoji23][emoji23]
hakuna chaajabu hapo hizo ishu za transportation vifurushi huwezi kulinganisha na mziki wa kodtec yaani hawagusi hata robo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]

hata huyu jamaa hawamgusi

wanazalisha brand gani....?..

jibu swali dogo tu
 
hakuna chaajabu hapo hizo ishu za transportation vifurushi huwezi kulinganisha na mziki wa kodtec yaani hawagusi hata robo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]

hata huyu jamaa hawamgusi

Ugua pole pole jomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heheeeee!!huamini macho yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kampuni ya 300 trucks sio mchezo, tena marekani wameajiri mpka wazungu[emoji122][emoji122][emoji122]..

Emu pinga utuonyeshe km hyo kampuni ni ya nani?
ni ivi lete jina la kampuni kisha utaje brand wanayozalisha....

mbona jambo dogo tu jibu hilo swali mbona simple ,,,usitumie nguvu kubwa ya kujiongelesha
 
Sisi tunajeshi bora east africa hio ni sauti ukiwa hewani sasa tukirudi mambo kwa ground [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]

Kwa Vita Gabi mlowahi kupigana??.... Mnachoweza Ni kupigana wenyewe ndani kila baada ya election Hadi tuje tuwapatanishee
 
hakuna chaajabu hapo hizo ishu za transportation vifurushi huwezi kulinganisha na mziki wa kodtec yaani hawagusi hata robo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]

hata huyu jamaa hawamgusi

Mbona umepanic sana hvi jamani, si nikikupiga nondo ingine unakimbia humu
 
ni ivi lete jina la kampuni kisha utaje brand wanayozalisha....

mbona jambo dogo tu jibu hilo swali mbona simple ,,,usitumie nguvu kubwa ya kujiongelesha
Kwhyo we unakataa km hyo kampuni hawamiliki wakenya, jambo rahisi tu mbona
 
ishu si kampuni kama kampuni hadi waburundi na wasumbiji wapo ughaibuni wanamiliki ni vitu normal...

ishu ni ivi sawa wanamiliki kampuni,je hiyo kampuni inazalisha brand gani ...?...na utupatie jina la kampuni..
 
Utawafukuzaa humuuu JF
 
Usiniletee uvivu wako wa kibongo mm, angalia video km huna bando sema..
ishu si kampuni kama kampuni hadi waburundi na wasumbiji wapo ughaibuni wanamiliki ni vitu normal...

ishu ni ivi sawa wanamiliki kampuni,je hiyo kampuni inazalisha brand gani ...?...na utupatie jina la kampuni..
 
ishu si kampuni kama kampuni hadi waburundi na wasumbiji wapo ughaibuni wanamiliki ni vitu normal...

ishu ni ivi sawa wanamiliki kampuni,je hiyo kampuni inazalisha brand gani ...?...na utupatie jina la kampuni..
Ishu ni wewe pia uangalie video uache uvivu chams media hakuacha kitu..
Km hutaki kwendaa
 
Tangia wakenya hawamiliki kampuni ughaibuni mpka sasa imekua hata burundi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sio kupanic hku walai jamani
 
Ishu ni wewe pia uangalie video uache uvivu chams media hakuacha kitu..
Km hutaki kwendaa
video nimeiona sijaona special,,nachotaka unisaidie zaidi kimaelekezo

ishu si kampuni kama kampuni hadi waburundi na wasumbiji wapo ughaibuni wanamiliki ni vitu normal...

ishu ni ivi sawa wanamiliki kampuni,je hiyo kampuni inazalisha brand gani ...?...na utupatie jina la kampuni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…