Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona wabongo tunapenda ubishi hvyo [emoji23][emoji23][emoji23] aya bwana yaishe.. Watanzania tupo juu
Ok nmekufuatilia nmeona kweli ww ni mbongo, ila ni mbongo mwenye fikra za Tz ya 90s, sikia ndg Tz ya ss huwezi fananisha na nchi yoyote EA wanachotuzd Wakenya ni riadha tu ambayo pia walikuja kujifunza Tz enzi zile za Filbert Bayi, tukazembea now wametupita but the rest hakuna wanachotukaribia amini kwamba.
 
Kazi kuiga iga wazungu tu wkt mnanuka njaa, ushuzi wa churchill ndo nn, toa ushuzi wako apa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…