Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesema tupia mixtapes..
Eti hyo kawashinda mpka akina dj neptune
Kenya is home of djs, kila flavour duniani unaipata
Nilitaka kwanza utambue hvo 🤣🤣👇👇 na huyo dj ana followers 2.1m tambua hvo plz tafuta dj kenya mwenye followers zaidi ya 1m ukipata nitag
D2A36621-C0E1-46E3-B229-8A420AB9B654.jpeg
 
Dharau zenu nyinyi ndio hua zinawarudisha nyuma miaka 50 [emoji28][emoji28][emoji28] hvi kwa mziki wa tanzania ulivowakimataifa unafkiri utakua na wigo bila djs kuweka mchango wao ???
Story nyingi za nn, we niweke mixtape yake moja tu tuione..
 
Story nyingi za nn, we niweke mixtape yake moja tu tuione..
🤣🤣🤣🤣🤣 yani mziki wa tnzania ulivo mkubwa kusiwepo djs hvi ww unaakili timamu kweli hvi kuna nchi east africa yenye music producers wengi kama tanzania ???😅
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani mziki wa tnzania ulivo mkubwa kusiwepo djs hvi ww unaakili timamu kweli hvi kuna nchi east africa yenye music producers wengi kama tanzania ???[emoji28]
Kwaheri
 
Ukipata dj kenya ana followers zaidi ya 500k tag me bro i will be waiting [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wale ogopa djs walifia sehemu gani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asante kw kukwepa mada..
 
Back
Top Bottom