Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo hizo ndio bora sasa?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utaumia bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna mtu atakae enda kisa ile mikebe yenu, lkn kenya kila kuchao vlogs za nganya youtube kibao..

Hzo zikija mnakodi mkafanyie show off[emoji1787]
 
Utaumia bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna mtu atakae enda kisa ile mikebe yenu, lkn kenya kila kuchao vlogs za nganya youtube kibao..

Hzo zikija mnakodi mkafanyie show off[emoji1787]
Apo kunya ujinga uko new generation sio hii 21c, embu niambie izo car umepost zinatofaut gani na hii manz yako hapo[emoji1787][emoji16][emoji23][emoji23][emoji116]
 
Leseni sasa zinatolewa kwa watu binafsi kuanzisha mashamba ya kufuga wanyama pori kwa ajili ya kuuza na utalii. Serikali inatoa mitamba kwa wananchi wanaotaka kuanzisha mashamba ya wanyama pori. Pia unaweza kununua wanyama pori wakubwa, bei zipo wazi. Hio sio concept ngeni nchi nyingine zenye utaratibu huo ukienda dukani unakuta mpaka biltongs za wanyapori, the choice is yours.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…