dah ila hawa jamaa bana aisee[emoji38][emoji38].Hata NCR wanatumia yale yale mabasi ya kajamba nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1655877
Density gani? Nyumba ndogo ndogo hizo?Watu watafute density kama hiii ๐คฃ๐คฃ๐๐
Uhehehehe 10 to 20floors ni nyumba ndogo ndogo unaakili sawa sawa wewe๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃDensity gani? Nyumba ndogo ndogo hizo?
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ ๐๐๐
Poa poa, nitapita hapo.Ufiki kwenye zile jakaranda,ukitoka hapo kama unarud airport ni mt 100 kuna geti lingine unazama nalo...hiyo inakuwa nyuma ya hiyo Amani.
Hii nimeipenda,kuna siku Davido alisema haoni msanii wa kufanya naye collabo kutoka bongo,Sasa hii itamuuma Sana kama jirani.๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ Kenya hua wanashinda nn mbio tu na rushwa View attachment 1655905View attachment 1655904View attachment 1655906View attachment 1655907
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].....[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Katika sehemu nisiokubaliana na serikali kabisa ni hii๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐๐๐
This is better than Kenya state houseNgoma ya Dai na Zuchu litawachoma kashootia hapo
View attachment 1655802View attachment 1655803View attachment 1655805
Hata mm kwa upande wangu naona sio sawa ila nahisi watakua wanaangalia na idadi ya wanyama piaKatika sehemu nisiokubaliana na serikali kabisa ni hii
Hatupaswi kufanya hivi, ni vyema tukaacha nature takes its course, hizo proteins tunazo tafuta kwa nyama pori tunaweza zipata kwenye mifugo mingi ssna
Baada ya muda mfupi wanyama mbugani watapungua sana kutokana na kuharibu life chain yao.
Kumbe wengi mmeona hivi! basi hii ni conclusionkunavutia kuliko state house ya kenya..