1.TPA TOWER 35FLRTuna 5. Hii ni kulingana na search niliyofanya ya haraka haraka. Nyie mna ngapi? Halafu tukitoka kwenye floors tunaweza kuenda kwenye height (metres) ambayo tumewapiga bila huruma.
725M ila sio case walaYenu haijafikisha hata kilomita moja kwa urefu.
Naona kama mnaweza kuwa mmetupiga hapo lakini zenye above 28 floors bado tunawashinda. Halafu likija kwenye swala la height pia tumechukua kikombe.1.TPA TOWER 35FLR
2.PSPF 1 35FLR
3.PSPF 2 35FLR
3.MNF TOWER 30FLR
4.RITA TOWER 30FLR
5.PPF TOWER 35FLR
6.MILLENNIUM TOWER 30FLR
7.MZIZIMA TOWER 1 TOPPED OUT 35FLR
8.MZIZIMA TOWER 2 TOPPED OUT 33FLR
Umeanza kushusha number tena[emoji23][emoji23][emoji23]Naona kama mnaweza kuwa mmetupiga hapo lakini zenye above 28 floors bado tunawashinda. Halafu likija kwenye swala la height pia tumechukua kikombe.
Yetu inajengwa haraka sana kwa hivyo hatuongei hadithi za abunuasi hapa. By next year December itakuwa more than 80% complete.725M ila sio case wala
Zetu nyingi ziko kati ya 27 floors na 29 floors. Kwanza 28 floors nadhani tuna tatu au nne.Umeanza kushusha number tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii bwiru niliwahi tembelea 2012 nilikua naitafuta kwenye vodeos youtube kwakweli sijawahi kuona video iliyotenda haki kwa bwiru nawashauri wamiliki wa drones wapite wairudie tena ile sehemu ni balaaa.A section of Bwiru area In mwanza
Hongereni sana sie hapa haiwezi jengwa daraja kama ilo lenu kwa miaka ya usoni...tuna miradi ya reli ya kuzunguka jiji labda iyo ndio ijengwe juu juuYetu inajengwa haraka sana kwa hivyo hatuongei hadithi za abunuasi hapa. By next year December itakuwa more than 80% complete.
Yao inajengwa na mchini ni vile sisi hatutaki project kichaa kama izo mchina ajenge afu atukamue ila kama tukitaka inajengwa fasta maana haijatumia pesa za wakenya ni pesa za wachina.Hongereni sana sie hapa haiwezi jengwa daraja kama ilo lenu kwa miaka ya usoni...tuna miradi ya reli ya kuzunguka jiji labda iyo ndio ijengwe juu juu
Zenye 20-29 flrs sio haba zipo kadhaaZetu nyingi ziko kati ya 27 floors na 29 floors. Kwanza 28 floors nadhani tuna tatu au nne.
Mombasa sio ya mchezo mchezo km unavyofikiriaMombasa bado sana kakaView attachment 1654440View attachment 1654441
Hapo huwezi bei, sio kununua wala kukodiAcha kuijarbu dar ....na ujinga next
Mnahesabu mpka vijiji km urban areas[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila cha ajabu TZ ndio ina urban areas nyingi kuliko nchi yoyote EA & Central
Watajua hawajui, viaduct ya kimataifa hyo[emoji122][emoji122][emoji122]
Sera ya walala hoi hyo yq kuzaliana km vipanyaBill gates ndio nani?tuliambiwa tuje duniani tuzaliane sasa wewe unahisi upo duniani kufanya nn kama huzai? Yeye kama kaona watoto wawili wanamtosha wewe iyo sio sera ya kila mtu
Bwahahaha!!hko hamna zaidi ya dar, au kuna mji ambao umefikisha hata population ya watu milioni zaidi ya dar[emoji1787][emoji1787]Hahahaha Em chekecha akili yako ujue Kenya ina population kiasi gani na wangapi wapo Nairobi na Tanzania Ina population gani na wangapi wapo Dar
Ndio utajua namna Nairobi ilivyo last hope ya each Kenyan
Pia angalia miji mikubwa ya Kenya ni mingapi na miji mikubwa Tanzania ni mingapi
Human resource gani tayari nyie mumeumbwa ni wazembe..Sio shida kabisa tuna ardhi kubwa sana na resouces nyingi kwaiyo tunahitaji human resource ya kutosha angalau 500m+ population
Zenye 20-29 flrs sio haba zipo kadhaa
1.BOT TOWER 1 20FLR
2.BOT TOWER 2 20FLR
3.PPF TOWER 22FLR
4.PSPF TOWER ILALA 22FLR
5.PSPF TOWER POSTA 24FLR
6.SKY TOWER 22FLR
7.UHURU HEIGHT 27FLR
8.UMOJA WA VIJANA TOWERS I&2 25FLRS Each
10.MOROCCO SQUARE RESIDENTIAL 22FLR
11.........
Izo za avic apo?nazojua ni old mutual tower,Prism tower
1. NGTC T1 = 43FLRS T/O1.TPA TOWER 35FLR
2.PSPF 1 35FLR
3.PSPF 2 35FLR
3.MNF TOWER 30FLR
4.RITA TOWER 30FLR
5.PPF TOWER 35FLR
6.MILLENNIUM TOWER 30FLR
7.MZIZIMA TOWER 1 TOPPED OUT 35FLR
8.MZIZIMA TOWER 2 TOPPED OUT 33FLR
Cbk liko wap ?1. NGTC T1 = 43FLRS T/O
2. TIMES TOWER = 38FLRS
3. NGTC T2 = 35FLRS T/O
4. PRISM TOWER = 34FLRS
5. UAP/OLD MUTUAL TOWER = 33FLRS
6. BRITAM TOWER = 33FLRS
7. NGTC RESIDENTIAL T1 = 33 FLRS
8. NGTC RESIDENTIAL T2 = 31 FLRS
9. NGTC RESIDENTIAL T3 = 31 FLRS
10. CBK PENSION TOWER = 30FLRS