Nyie mnazaana sana kutuliko, usiniletee uwiano niletee population yenu baada ya uhuru na sasa ndio utajua kinachowapeleka dar kujenga vijiji ni nini[emoji1787][emoji1787]na wala hatujajaa kiivyo,au nikupe uwiano wa eneo na idadi ya watu ulinganishe na nairobi[emoji38][emoji38][emoji38].
Namna hii 😂😂😂Km hizi hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1654337View attachment 1654338
Heheheh!!siku naona gengetone inapenya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km kuna wabongo sai wanazitumia katima insta videos zao na tiktok..
Mpende msipende sai gengetone mitaani mtaziskiza tu
namna ya kujua wimbo umepenya tz angalia views,ukiona ziko down ujue bado,sisi tunatumia youtube mama usidanganywe.Jamaa mpka wanatamani waelewe maana ya yale maneo ya sheng hadi kufundishwa na wakenya katika comments..
Yani ishapenya hvo ujue tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya tuko 47 million according to 2019 census.nyie ndio mmezaana kama panya! Kumbuka tanzania is twice the size of Kenya! Sasa kwa sie tulio +60 mln na nyie mlio +50 mln nani kaazaana ovyo? Au unataka nondo za njaa huko Kenya kama evidence ya kutoweza kujikimu?
1960 kenya na tanzania population zilikuaje[emoji1787][emoji1787]kachukue takwimu za kenya na ukubwa wa eneo lake,ulinganishe na tz,utajua nyinyi mmezaliana kama kunguni.
Yani zote ubati tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena hata umeme hakunaNamna hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenyan homes at their dopest style [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1654339
tatizo mnatumia akili vibaya.Nyie mnazaana sana kutuliko, usiniletee uwiano niletee population yenu baada ya uhuru na sasa ndio utajua kinachowapeleka dar kujenga vijiji ni nini[emoji1787][emoji1787]
Kenya is exactly 0ver 54 mln people as of December 19, 2020!Kenya tuko 47 million according to 2019 census.
Ninyi ndio mnazaana kama paka sababu nchi yenu ni Jangwa 90%, natural resources 10% lakini mpo 56 million 😢😢😢Nyie mnazaana sana kutuliko, usiniletee uwiano niletee population yenu baada ya uhuru na sasa ndio utajua kinachowapeleka dar kujenga vijiji ni nini[emoji1787][emoji1787]
Muulize babako manake mziki wa genge aliuskiza sana enzi zileNgengetone ni nini tena?
Maana me nyie hamchelewi kusema bongofleva ilianzia mombasa,
Kiswahili kilianzia mombasa
Labda iyo gengetoni ni singeli maana nyie sio wakuwaamini kwenye vitu vya watu..
Mbona tulikua sawa jamani, imekuwaje majirani[emoji1787][emoji1787]tatizo mnatumia akili vibaya.
so toka uhuru 50yrs now,tumefanikiwa kuwazidi 10ml peoples,while eneo tumewazidi nusu,na huoni hatari jinsi unafikiri[emoji23][emoji23].
fanya hata 45mln ukitaka,bado rate ni mbaya,kwanza eneo dogo na hata hilo dogo ni kame.Kenya tuko 47 million according to 2019 census.
Hahahaha!!data za census hazijui huo udubwasha wakoKenya is exactly 0ver 54 mln people as of December 19, 2020!
- The current population of Kenya is 54,315,808 as of Saturday, December 19, 2020, based on Worldometer elaboration of the latest United Nations data.
Kenya Population (2026) - Worldometer
Population of Kenya: current, historical, and projected population, growth rate, immigration, median age, total fertility rate (TFR), population density, urbanization, urban population, country's share of world population, and global rank. Data tables, maps, charts, and live population clockwww.worldometers.info
Za Youtube hizoYani zote ubati tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena hata umeme hakunaView attachment 1654341View attachment 1654343
Kenya na Tanzania zilikuwa na similar population size wakati wa uhuru. Lakini baada ya uhuru hawa jamaa waliamua kuraruana sana.Nyie mnazaana sana kutuliko, usiniletee uwiano niletee population yenu baada ya uhuru na sasa ndio utajua kinachowapeleka dar kujenga vijiji ni nini[emoji1787][emoji1787]
Mbona basi km tunazaana km panya after uhuru tulikua sawa jamani, imekuaje tena mkazaliana hvo na wakati kwenu kumejaa misitu na mbuga..Ninyi ndio mnazaana kama paka sababu nchi yenu ni Jangwa 90%, natural resources 10% lakini mpo 56 million [emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Za Youtube hizo
Ona vitu kwa ground
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji22]
View attachment 1654345View attachment 1654346
Yani zote ubati tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena hata umeme hakunaView attachment 1654341View attachment 1654343