Kwn nyie huaga mna aerial views za mji wenu[emoji1787][emoji1787]Slums ya kwenye video? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ilijificha miaka yote imekuja kuibuka November 2020 kwenye video ya singeli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona Kenyan houses zipo Miaka na miaka?
Naona mmeanza kuimba bongo flava na ninyi 😂😂😂Heheheh!!siku naona gengetone inapenya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km kuna wabongo sai wanazitumia katima insta videos zao na tiktok..
Mpende msipende sai gengetone mitaani mtaziskiza tu
Si wewe ndio umesema bati juu ndio slum, sasa 80% ya dar ni hvo[emoji1787][emoji1787]Kama Dar ni 80% Nairobi ni 9000% [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kudanganya dada yangu,mziki wa kenya ambao ulisikika walau mara mbili tatu ni femi one na mejor.hiyo lewa haitumiki na watz ila ni wakenya wenzenu maana video zinachanganywa huwezi chagua uone za ncgi ipi.Heheheh!!siku naona gengetone inapenya bongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km kuna wabongo sai wanazitumia katima insta videos zao na tiktok..
Mpende msipende sai gengetone mitaani mtaziskiza tu
Mbona mumefinyana nyote Dar? Ni umasikini imewapeleka Dar?Sasa unafikir Dar ni kajiji ka watu million 2 kama kunya ...ndio mana tunahitaj mabasi zaidi pia kuongeza root za trains....wellcome to definition of true city[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Thats business[emoji1787][emoji1787]
Point ni kwamba hizo iron shacks aka Kenyan homes hazipo wala hazitokaa zitokee bongoKwn nyie huaga mna aerial views za mji wenu[emoji1787][emoji1787]
Je nikikuletea za yule jamàa wenu wa insta anaye post za wasanii chipukizi dar ili kuwapea support utazikataa
Sai kuna wabongo wanafanya mpka reaction ya gengetone youtube, yani hyo ndio ishapenya hvo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kudanganya dada yangu,mziki wa kenya ambao ulisikika walau mara mbili tatu ni femi one na mejor.hiyo lewa haitumiki na watz ila ni wakenya wenzenu maana video zinachanganywa huwezi chagua uone za ncgi ipi.
tz tuna watu 60mln dsm ina watu 6mln,tikisa kichwa yako,inavujisha umeme.Mbona mumefinyana nyote Dar? Ni umasikini imewapeleka Dar?
Hongereni kwa kuchagua kuimba bongo flava 😂😂😂Thats business[emoji1787][emoji1787]
Kwanza tanzania kuna ma DJ kweli..
Km wapo tupia link moja nijaribu kuwaskiza, manakw siwaju na wala sijaona mixtapes zao
[emoji23][emoji23][emoji23]labda ungeangalia views ndio utajua ni kuhangaika wanahangaika.Sai kuna wabongo wanafanya mpka reaction ya gengetone youtube, yani hyo ndio ishapenya hvo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha Kenyan homes ni full suit iron mzee au umesahau? 😂😂😂😂Si wewe ndio umesema bati juu ndio slum, sasa 80% ya dar ni hvo[emoji1787][emoji1787]
Unakataq nini sasa au vile umeona meza imepinduliwa
Tanzania sehemu kubwa ni misitu, mbuga,mashamba nk thats why nyote mumejazana dartz tuna watu 60mln dsm ina watu 6mln,tikisa kichwa yako,inavujisha umeme.
Km hizi hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hahahaha Kenyan homes ni full suit iron mzee au umesahau? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiwa imeboreshwa zaidi inakua na muddy walls juu imekula rusted iron sheets matata [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mbona mumezaana kama panya?tz tuna watu 60mln dsm ina watu 6mln,tikisa kichwa yako,inavujisha umeme.
na wala hatujajaa kiivyo,au nikupe uwiano wa eneo na idadi ya watu ulinganishe na nairobi[emoji38][emoji38][emoji38].Tanzania sehemu kubwa ni misitu, mbuga,mashamba nk thats why nyote mumejazana dar
Tuko wastani kabisa nchi bado inamaeneo mengi sanaNa mbona mumezaana kama panya?
Jamaa mpka wanatamani waelewe maana ya yale maneo ya sheng hadi kufundishwa na wakenya katika comments..[emoji23][emoji23][emoji23]labda ungeangalia views ndio utajua ni kuhangaika wanahangaika.
kachukue takwimu za kenya na ukubwa wa eneo lake,ulinganishe na tz,utajua nyinyi mmezaliana kama kunguni.Na mbona mumezaana kama panya?