COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Brathe Kenya hakuna njaa..ni upungufu wa unga....iyo wasee wanairefer ka njaa ata maziwa mnaokunywa unadhani yatoka wapi...chakula ziko mob ni vile unga ni shida kidogo na tunazinunua mexicoNa kushindwa kulima ni ujinga unaweza tokea Kenya tuu wakati hamuishi jangwani [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23].. Bora mjinga anaekumbuka kutafuta Chakula kuliko nyie
siasa kenya imepamba moto.Uhuru divert his tour as protestors blocks Meru - Nkubu highway in Maua against Uhuru's empty promises...uhuru kazi anayo
View attachment 530152
karibu tena kijana....sikujua kuwa wewe ndio mtu unaye mnyosha yule colo anayejiita collomzii.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]nimewmiss sana wadau
Hakuna vita Kenya Tena...we learned from what happened in 2007/08 and such will never happen in Kenyan soil again...Amensiasa kenya imepamba moto.
mungu awasaidie wakenya wasije wakachinjana kisa siasa na ukabila.
hatutaki kupokea wakimbizi toka kenya,hawa tulio nao toka congo na burundi wanatosha.
mlete dada yako nimtie mimba,then akijifungua salama,namrudisha kenya aendelee na masomo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]This danganyikans are all Stupid(99.9% if not 100)... Even the better Tuusan supports magufulis punishment on pregnant school girls.
Nyinyi wote hapo tz(+magufuli) niwajinga
Sawa brathe naomba nikuulize... Kwani Kenya mahindi hayastawii au Hali ya hewa Hai support kilimo cha mahindi?????Brathe Kenya hakuna njaa..ni upungufu wa unga....iyo wasee wanairefer ka njaa ata maziwa mnaokunywa unadhani yatoka wapi...chakula ziko mob ni vile unga ni shida kidogo na tunazinunua mexico
hata sisi hatuombei muingie kwenye vurugu za kisiasa maana madhara yaliyotokea 2007-8 ni makubwa sana.Hakuna vita Kenya Tena...we learned from what happened in 2007/08 and such will never happen in Kenyan soil again...Amen
siasa kenya imepamba moto.
mungu awasaidie wakenya wasije wakachinjana kisa siasa na ukabila.
hatutaki kupokea wakimbizi toka kenya,hawa tulio nao toka congo na burundi wanatosha.
Si bora kuwa LDC kuliko kuwa middle Income wa kiberaKuwa LDC ni sawa na kuwa refugee kwa nchi yako.......anyway hakuna vita itatokea Kenya. Hivyo ndio mlivyotabiri 2013 when ICC issue ilikuwa imechacha mkabakia kula matapishi yenu
Mimi na masufferer hatubongangi tafuta masufferer wenzakoha haa collo punguza njaaa mimi ......ni ninja .......bundle kwangu ni ishu ya kawaida sana na humu nipo milele labda nife
Anko hakuna Mtu anataka mchinjane huko bt kuweni makini na ndugu zenu wanaobishana siasa mpaka kufikia kupigana au kuuana afu cha pili media zenu nazo ziwe znaangalia taarifaa za kureport.... Coz taarifaa zngne znaweza sambaza chuki baina ya vyama vyenu... Ni ushaur tu unaeza sikilza au ukaupotezea coz mi mtz siwez kukuamlia cha kufanya budaKuwa LDC ni sawa na kuwa refugee kwa nchi yako.......anyway hakuna vita itatokea Kenya. Hivyo ndio mlivyotabiri 2013 when ICC issue ilikuwa imechacha mkabakia kula matapishi yenu
Ufala utaacha...mimba Kenya ukipata masomo yanaendelea vizuri sana...magufuli na kondoo wake(nyinyi) ni wajinga sanamlete dada yako nimtie mimba,then akijifungua salama,namrudisha kenya aendelee na masomo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha nkushow;
1.nov 2016-april 2017 kulikua na ukame Kenya yote maize haigemake kugrow
2.after may maize imepandwa utake 6 months so bado tunategea
3.food zingine kama cabo,skuma haitake long
Then wakenya huona njaa kama unga hakuna ata kama unga ngano na vyakula vingine vimejaa
Kama hujaelewa ujisortSawa brathe naomba nikuulize... Kwani Kenya mahindi hayastawii au Hali ya hewa Hai support kilimo cha mahindi?????
Hakuna vita Kenya na hakutakua na vitahata sisi hatuombei muingie kwenye vurugu za kisiasa maana madhara yaliyotokea 2007-8 ni makubwa sana.
lakini dalili za uwepo wa vurungu zimeanza kujionyesha,msipochukua tahadhari,lolote linaweza kutokea.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
media zenyu pia zidhibitiwe katika ku-repost matukio kama haya cos zinaweza tumika kuleta taharuki.
Nimekupata anko poleni Sana kumbe mvua zilisumbua huko daaaa!!!! Ni mabadiliko tu ya tabia ya nchi so jifunzen kwenda nayo Sawa next tym msikutane na shortage ya ungaAcha nkushow;
1.nov 2016-april 2017 kulikua na ukame Kenya yote maize haigemake kugrow
2.after may maize imepandwa utake 6 months so bado tunategea
3.food zingine kama cabo,skuma haitake long
Then wakenya huona njaa kama unga hakuna ata kama unga ngano na vyakula vingine vimejaa
Kama hujaelewa ujisort
punguza hasira.Kuwa LDC ni sawa na kuwa refugee kwa nchi yako.......anyway hakuna vita itatokea Kenya. Hivyo ndio mlivyotabiri 2013 when ICC issue ilikuwa imechacha mkabakia kula matapishi yenu