Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio sportpesa wakwende huko..pesa zetu walitumia kusponsor hull,laliga na sai Everton alafu wakitaxiwa 35% wanadai kuwithdraw sponsorship....wametubeba ufala hapo
Sasa hvi wamekua wabayaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Bongo ukija hurudiπŸ˜›πŸ˜›
 
Sasa hvi wamekua wabayaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Bongo ukija hurudiπŸ˜›πŸ˜›
Ckuelewi....but sportpesa pesa inapata Kenya ni mabillioni juu inajulikana kila sehemu tangu 2014 na imevuma kuvuma....after sportpesa success makupuni za kubet na lottery online zinafika 50 sai ikiwemo za england,defabet na beltway, serikali kuona hii story ya kubet imepanda na vijana wana syke nayo waka propose tax ya 50% kwa revenue yao ili kupunguza speed izo ma kampany zilikua zinakam....
Hizo makampany zikaenda kortini na wakafaulu ipunguzwe hadi 35%...so sportpesa wanatutishia kuwithdraw iyo sponsorship
Nb.Mimi n mzalendo but ukweli nasema si ka nyinyi magufuli akisema murukie Indian oceon na kuna sharks mnafuata
 
nabii hakubariki nyumbani kwao.

a street in dar is named after a kenyan international footballer, victor wanyama.

hongera sana wanyama.tuna ardhi kubwa,hata ukitaka ekari 50 za kuwekeza tunakupa.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

NB:
wakenya kabla hamjatoa povu,kumbukeni hii..[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…