Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua maana ya limelight, tatizo pia simfahamu..pole sana jomba
Kweli we bado lolani Kalu moja wapo ya journalist wazuri Kenya unasema humjui? VP Yule Leonard mambo mbotela alieshindwa kulipia gharama za matibabu akasaidiwa humjui pia sindio?
 
Kweli we bado lolani Kalu moja wapo ya journalist wazuri Kenya unasema humjui? VP Yule Leonard mambo mbotela alieshindwa kulipia gharama za matibabu akasaidiwa humjui pia sindio?
Leonard ni msanii alafu ona ulivyokua bwege, hospital bills wengi tu zinawashinda..
Kwn kuwa na assets ndio kuwa na uwezo wa kulipia ksh1m cash kw mkupuo sio
 
Leonard ni msanii alafu ona ulivyokua bwege, hospital bills wengi tu zinawashinda..
Kwn kuwa na assets ndio kuwa na uwezo wa kulipia 1m cash sio
Dogo mbona unaji changanya ? Au steam za muguka na Miraa? Weiye siunasema ma celeb wengi wakenya wanazo hela au sio wewe?
 
Ila kwenye zile statistics zenu za mapishi zinaonesha wapo watumiaji wa internet million 45 Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwhyo internet users maana yake ni kw mtu mmoja mmoja sio[emoji1787][emoji1787]
Asante sana jomba la ICT..
 
Ww hata hujui unacho ongea ....kwani hujui mana ya side effect wew? Nchi ikiw na n high penetration of internet side effect yake lazima ionekane
 
Ww hata hujui unacho ongea ....kwani hujui mana ya side effect wew? Nchi ikiw na n high penetration of internet side effect yake lazima ionekane
Kwhyo mnawazidi wasauzi au wale waarab kule north[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…