Tutatoa wapi mabehewa ?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] na nyie watu wa used staffs mnatujadili watu wa brand new[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...kakojoe ulale bado mdogoHuo umbea uliupatia wapi?
Badala ya kunengua si mkubali tu mlibana matumizi ndio manake mpka leo mnahaha hamjui mtatoa wapi mabehewa
Sio kila mtu anamfollow mtu maarufuSijui km akili yako iko na akili au imenda likizo...kwa mara ya mwisho narudia ,nchi ikiwa na penetration kubwa ya internet manake users pia watakuwa wengi kitu kitakacho pelekea hata wale watu marufu katika nchi flani kuwa na followers wengi...kama hujaelewa nenda kafwate ada yako
Huyu hapa VP👇👇? Au nkutajie na jina kabisa🙂Nitajie msanii wetu ambae yupo kw lime light alafu anateseka
Jiulize wewe sasa[emoji115][emoji115][emoji115]siwajui hata mmoja[emoji23][emoji23]
kwani nyinyi mko na wasanii??
labda wasanii wenu[emoji38][emoji38]
Unaona ulivyo na akili mgando[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] unajua mbez inatoa magari mangapi kwa siku? Kweli ni kaziKwani pale mbezi mnaenda kuishi, alafu magu anajua biashara kubwa kwenu ni ya mabasi..
anafananisha mbezi na ujinga gani huyo mlupo???Unaona ulivyo na akili mgando[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] unajua mbez inatoa magari mangapi kwa siku? Kweli ni kazi
Kheee!!enhee ni nani huyo, labda yupo kw limelight chatoHuyu hapa VP[emoji116][emoji116]? Au nkutajie na jina kabisa[emoji846]
Ndio manake nikakwambia magu anajua nchi maskini utumizi wa mabasi upo juu..Unaona ulivyo na akili mgando[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] unajua mbez inatoa magari mangapi kwa siku? Kweli ni kazi
Jirani usijifanye Una fahamu lolani Kalu au sio mtu maarufu sasahivi? Kwa vile amefulia?Kheee!!enhee ni nani huyo, labda yupo kw limelight chato
Mbezi si zege na glass zimebandikiwa juu, au kuna kipi kigeni pale zaidi ya zege kw lililokithiri[emoji1787][emoji1787]anafananisha mbezi na ujinga gani huyo mlupo???
Unajua maana ya limelight, tatizo pia simfahamu..pole sana jombaJirani usijifanye Una fahamu lolani Kalu au sio mtu maarufu sasahivi? Kwa vile amefulia?
walikuwa wanazicheka hizi station sasa hivi kimya......Morooo moja[emoji91][emoji91][emoji91]SGRView attachment 1650710View attachment 1650711
Wew uko na shida kwa akil au ni kiswahil hujui ? Niwapi nimesema abari ya kila mtu ni lazima amfollow mtu maruf ?Sio kila mtu anamfollow mtu maarufu
ni shoulin tample structrure enzi za bluce lee analia nyauuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]vituo vidogo classic na vinamuonekano mzuri.. sio wale wengine ni mahekalu ya kichinese
Unaelewa unacho andika ? Au unandika tu km unawazim[emoji57]Ndio manake nikakwambia magu anajua nchi maskini utumizi wa mabasi upo juu..
mbezi itakuwa inafanya kazi nzito kwa siku kuliko kazi inayofanyika uwanja wa kenyata kwa mwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mbezi si zege na glass zimebandikiwa juu, au kuna kipi kigeni pale zaidi ya zege kw lililokithiri[emoji1787][emoji1787]
[emoji23] [emoji23]mbezi itakuwa inafanya kazi nzito kwa siku kuliko kazi inayofanyika uwanja wa kenyata kwa mwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa si hyo internet pentration inawachangia km ulivyosema..Wew uko na shida kwa akil au ni kiswahil hujui ? Niwapi nimesema abari ya kila mtu ni lazima amfollow mtu maruf ?