Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo mwanza yao si eldoret ilifunika sawasawa.....hahaha. ..ati sijui rock city. ...blah blah
 
Hiyo mwanza yao si eldoret ilifunika sawasawa.....hahaha. ..ati sijui rock city. ...blah blah
Vumilia ndugu najua unaskia uchungu sana
Lakini stahmili tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Inaitwa Eiffel tower kwani tower ni symbol..nlikuambia ujinga ukonayo haina dawa
So hapo kuna ofisi za watu kuna makazi ryt????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hebu acha kua mjinga
Status ya britam unaeza fananisha na eiffel tower????????
 
without these 4 towers Mombasa imewashindia kila kitu.mmewashindia tu population
Eti sasa hivi 4 TowersπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, Yaani nyie ni vichekesho, soon mtakua mnameza matapishi yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…