Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mlituuzia lakini tulizagia ngombe
"tulizagia" ndio kifaa gani?!!

jifunze kuandika kiswahili fasaha au kama vipi andika tu post zako kwa kingereza,kiswahili kimekupiga chenga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Top 10 poorest cities on earth....hahaha .Aibu gani. mnadai hamna slum ila 90% ya mji wenu inakaa slum slum hivi.....Brt ni Kata funua ndani ya Dar is slum
Kunywa maji basi😀😀😀😀😀😀
 
"tulizagia" ndio kifaa gani?!!

jifunze kuandika kiswahili fasaha au kama vipi andika tu post zako kwa kingereza,kiswahili kimekupiga chenga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikusho hatuko shule bora ushaelewa ka unataka kua mwalimu useme
 
Unaweza tembea Nairobi kwa siku moja ukaimaliza yote. Lakini Dar lazima utenge Mwezi mzima
 
Unaweza tembea Nairobi kwa siku moja ukaimaliza yote. Lakini Dar lazima utenge Mwezi mzima


Kutembea City inakaa slummy yote Kama Dar inahitaji mwaka mzima na kutumia punda ndani ya vichochoro vya Dar is slum. ...gari wala pikipiki haipitiki
 
noh Dår is slum your slum city vs Mombasa
Unavyoipigania Mombasa. Kwanza ulemji umejaa Mashoga(gays) Mombasa is very well known in East Africa as a leading city in gay issues. Mji gani ukienda kustarehe unatongozwa na mwanaume mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…