Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakora watatu au wanne ndani ya mall walitetemesha nchi yote ya Kenya kwa wiki nzima.so shame...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kadoda,icho,tuusan and company [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] <br />[quote uid=427015 name="COLLOH-MZII RELOADED" post=21796969]Nairobi(cbd+upper hill on the background) ichoboy and company need I need only one dar photo equivalent to any of this <br /> [/QUOTE]
 
Mazee dar viwanja vinaisha mji unajengeka balaa mi skyscraper inachomoza kama uyoga .

Kariakoo pale kijumba kilichojengwa mwaka 1960 ukitaka kuinunua upandishe flat andaa sio chini ya milioni 500 aisee nomaa

Mwaka 1996 nilihamia maeno ya kimara kigong'o ilikuwa msitu tu na migomba lakini leo kuna mijumba balaa aisee .


Kuna kujumba kangu kama miaka hiyo nataka nikavunje nipandishe apartment fursa ya mshiko nje nje

Dar raha sana jamani wakenya

Kila mtaa nikipita watoto warembo warembo daaah mate yana nitoka

Acha dar iitwe dar

There is no success like dar success in EA
 
Wewe Nairobi wala Dar upajui na hujawahi fika. Utakuwa unaishi huko mikoani. Sasa hii ndo Nairobi inavyokuwa kipindi cha mvua. Wanahadi sehemu panaitwa matopeni kipindi chamvua hapapitiki nalazima uvae rain boots kwenda kazini.Sikunyingine kama ujuikitu nyamaza ujifunze. i
Hapana kwenye hili lazima tuseme ukweli. Dar kwa Nairobi bado sana! Nairobi imejengeka vizuri tena kwa mpangilio tofauti na Dar ambako mvua ikinyesha dk kumi mji mzima mnaweza anzisha mabwawa ya samaki! Dar bado ndugu zangu.
 
Hii Dar imeshindia nini Mombasa honestly apart of the few towers they are putting up?Mombasa even looks better...more developed and sexier
Umemaliza nduguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mombasa kwnye hotels pekeake haitoboi kwa zanzibar....unazungumza kuhusu darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


kuna thread Mombasa ilinyorosha dar is slum. ....zanzibar ni shade wameweka kwa ufuo wa bahari ati hotels. ....hiyo ujinga uishe.atleast mwarabu ameamua kuunda dorms ndio ifiche aibu
 
kuna thread Mombasa ilinyorosha dar is slum. ....zanzibar ni shade wameweka kwa ufuo wa bahari ati hotels. ....hiyo ujinga uishe.atleast mwarabu ameamua kuunda dorms ndio ifiche aibu
Mm hua staki maneno eka thread andika mombasa lamu and diani vs znz in hotel beaches alaf uone kama utatokaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mm hua staki maneno eka thread andika mombasa lamu and diani vs znz in hotel beaches alaf uone kama utatokaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


noh DΓ₯r is slum your slum city vs Mombasa
 
Towers zingine ziko kando ya slums hapo dar is slum. ..... .same towers mnapiga picha 1000 angle tofauti.....
Nilishakwambia ukubwa wa dar chukua nairobi mombasa kisumu nakuru na eldoret huufikii
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Towers zingine ziko kando ya slums hapo dar is slum. ..... .same towers mnapiga picha 1000 angle tofauti.....
Na nyinyi mbona mnapiga 100,000 pics on different angels lakini pale pale japo sisi tuna CBD kibao. We are not fools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…