Hawa jamaa kweli viliza aafu mpaka press conference πππππsijui wasimamizi pamoja na engineers waleviπππmchina anajitawala kwaoππZa kupeleka wapi wakati pesa za kujenga 4 to 6 carriageway + pedestrian sidewalk tunazo?
Ninyi fukara ndio mpambane na hizo urgent pedestrian floating bars na mara nyingi nijuavyo hujengwa wakati wa vita on urgent call. π
Mchina anawaokota tu nyang'auMumebakia na hasira ya kutuonesha render π€£π€£π€£π€£πππ munaona aibu kupost huo upuuzi wa mwaka 2020 tena munaambiwa inafunguliwa 2021π€£π€£π€£ 1.7b ksh ila mchina aisee hana huruma
View attachment 1647398
Hii ni render nimeikuta pahala..
Hii ndio floating bridge sio hiii hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1647400
Kwaiyo we unaona izo picha ni sawa....Sasa wewe unaweka picha nusu hili nini ifanyike?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona usiweke picha nzima venye umeweka ya render?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 1647412View attachment 1647413
UnAamini bridge ikiwa na mlango wa kufunga na kufungua iyo ni floating bridge... yani badala mumkazie uhuru asiwadanganye mnakaa kutetea ujinga..Sasa wewe unaweka picha nusu hili nini ifanyike?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona usiweke picha nzima venye umeweka ya render?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 1647412View attachment 1647413
Ati pesa? Tanzania na pesa kwa sentensi moja? π π π π πZa kupeleka wapi wakati pesa za kujenga 4 to 6 carriageway + pedestrian sidewalk tunazo?
Ninyi fukara ndio mpambane na hizo urgent pedestrian floating bars na mara nyingi nijuavyo hujengwa wakati wa vita on urgent call. π
Sasa wewe unaweka picha nusu hili nini ifanyike?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona usiweke picha nzima venye umeweka ya render?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 1647412View attachment 1647413
View attachment 1647425
Hizi zinaitwa swing bridges zinafunguka kwajili ya meli na boats
View attachment 1647426View attachment 1647427View attachment 1647428
Izi sio floating kwasababu zina fixed support pillars.
Hayo makitu yapo kibao kwenye magodown ya JWTZ standby kwa matumizi ya dharura endapo madaraja yatakatika ama vipi, nashangaa hawa wameingizwa cha kike kiboya hivi na hayo maboya ya rescue mission π π πHawa jamaa kweli viliza aafu mpaka press conference πππππsijui wasimamizi pamoja na engineers waleviπππmchina anajitawala kwaoππ
Utafanya wafe wivu.Kama bado unangoja construction board ya expressway please raise your hands[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]View attachment 1647433View attachment 1647434View attachment 1647436View attachment 1647437
Pamoja na mbwembe zote hizo alshabab ndo Babalao.. the irony π
Hayo makitu yapo kibao kwenye magodown ya JWTZ standby kwa matumizi ya dharura endapo madaraja yatakatika ama vipi, nashangaa hawa wameingizwa cha kike kiboya hivi na hayo maboya ya rescue mission [emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi hata baiskeli inaruhusiwa kweli? Maana nasikia mtakua mkipita peku π πAti pesa? Tanzania na pesa kwa sentensi moja? π π π π π
Mbna nimekujibu kwa picha narudia tena kwa kuchora kabisaZa likoni kuna fixed supporting pillars?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] Siku mbona hujanijibu hiyo swali[emoji23][emoji23]
Wanayo ya aina nyingi, hayo maboya pia wanayo na kila aina hujengwa accordinglyEbu leta hiyo ya JWTZ tuyaone[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] We all know that your army is very poor and can't afford such things[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwanini mnaendelea bishana na huyo machozigesi.. definition yenye alio ituma inamfunga mwenye na bado y'all falling for his delusions.. Tz people sometimes we gotta do better on how to deal with kunyans mhen..Iyo bridge nambambili ndo sio kabisa maana izi ni zile bridge hata millitary wanaweza jena per single day. So iyo yenu haipo. Kiufupi IYO SIO FLOATING BRIDGE.
Najua unaangaika kutafuta google kuhalalisha ilo bridge kuwa floating lakin reality ilo sio...
Kama bado unangoja construction board ya expressway please raise your hands[emoji23][emoji23][emoji1787]
View attachment 1647434View attachment 1647436View attachment 1647437
View attachment 1647438
Kwaio apo tuna para viwanja vinne na ushee?... kunyans endeleni kuota ππ tunawachora tuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ kwamba hii ndio ile ahadi muliosubiri miaka 50ππππ
View attachment 1647358