Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo bridge itabeba watu to au hata maloli yatapita juu yake?
 
Ndio hizo magari[emoji23][emoji23][emoji1787]
View attachment 1647287View attachment 1647288
haya sio magari dogo?
VP mbona unaweweseka magari leo huyajui ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

oooh I see ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚naona apo mlivorundikana kwe cruiser kama nyanya asa apo mnatofauti gani na alshabab? ndo maana mkipigwa ambush nmakufaga in dozen dozen ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 


Iyo bridge nambambili ndo sio kabisa maana izi ni zile bridge hata millitary wanaweza jena per single day. So iyo yenu haipo. Kiufupi IYO SIO FLOATING BRIDGE.

Najua unaangaika kutafuta google kuhalalisha ilo bridge kuwa floating lakin reality ilo sio...
 
Bridge ikishakuwa na fixed permanent support pillars iyo sio floating tena,,

Hii yenu inazo fixed support kwaiyo iyo haiwezi kuwa floating
 
awataki kuamini kama iyo daraja n permanent ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
wenzio wamepewa render ya mombasa gate bridge wajiliwaze nayo af we unawachanganyia habar๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ivi kama akili yako inafanya kazi iyo bridge yenu mnaweza * move foward by pulley??*
Kumbe hujui kuwa hiyo bridge inamove?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787] How do you think ships will pass there? Cause hapo ndio njia ya meli.
 
Wakenya wapumbavu sana hata ukiwaelimisha hawaelimiki sasa mtu anaona nguzo fixed anakwambia floating bridge
 
Sema unataka Malori[emoji23][emoji23][emoji23]. Hujui kuwa hata tanks pia ni gari? Hadi tingatinga ni gari. So ukianimbie nikuonyeshe gari zetu naezakukuonyesha hata trains[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Anyway here are our trucks.

๏ฟผ
 

Attachments

  • Cya8goiXAAAPjG-.jpeg
    72.6 KB · Views: 28
je hiyo ni floating bridge...?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nyie kunguru sijui huwa mnafundishwa nini huko.....mpo empty kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ