Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn uliskia hakuna usafiri wa kukupeleka stage za mabasi, mbona una wehuka we jomba..
Zipo sehemu maalum ambazo utakuta ofisu za mabasi zimetapakaa..

Yani hyo yote unaskia uchungu kuona capitalist kila mtu ana fight kivyake kukuza uchumi wala hatutegemei kila kitu kutoka kw serekali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This should have been the design ya TAZARA

tatizo ni space! every corner of the junction kuna majengo ya makampun ya watu.. ila nafikiria ipite flyover nyingine inaanzia kule daraja la bugurun ivuke hadi sgr viaduct na flyover ya sasa.. itokee kule mbele sokon kama unaenda uwanja wa taifa
 
Hao ndio wametumia hebu nioneshe picha kua wmepanda na kushuka humo ukipata mm nafunga acc jamii forum[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikujua wanasiasa wa Tanzania ni washamba hadi wanaenda kupiga picha karibu na ndege ya Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…