Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Acha ujinga unafananisha eicher na vipanya???..bei ya eicher moja ni sawa na vipanya 8Toa ujinga hapa[emoji23][emoji23][emoji23], hizo linganisha na hizi matatu za Mombasa[emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 1644993
We mzee unajua kuwaumiza hawa jamaa, tanzania km ulaya sio..[emoji23][emoji23]Tanzania kama Ulaya[emoji23][emoji23]View attachment 1645786
Nyoteni mumepigwa[emoji23][emoji23]Au hzi sio mpya [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 1645787View attachment 1645788
Level inaanza kuhesabika from the ground hata ground ni level thats y inakua three level kwann ulazmishe kitu 🤣🤣🤣🤣 kwani pangani ikiwa two level munaugua malaria au????Nimekujibu kw ufasaha sana, yani unavyotaka wewe basi ubungo itakua two level[emoji23][emoji23][emoji23]
Au hutaki tena..
We unafikiria levels huhesabiwa km floors sio[emoji23][emoji23]..
Hapa hutoki zee la floors
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mzungu kajipiga pia kama alivowaletea second hand DMUs 🤣🤣🤣 kwao zimetumika 50yrs
Nakwambia walai..si heri nipande matatu nile mziki wangu pole pole kuliko hvyo viwanda vya moto..Nakuambia hata heri nganya[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Alafu mwisho wa siku utoke na kunguni 🤣🤣🤣Nakwambia walai..si heri nipande matatu nile mziki wangu pole pole kuliko hvyo viwanda vya moto..
Eti brand new[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu yupi huyo[emoji23][emoji23]Na mzungu kajipiga pia kama alivowaletea second hand DMUs [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwao zimetumika 50yrs
Kwhyo wewe uko radhi kuungua[emoji23][emoji23][emoji23]Alafu mwisho wa siku utoke na kunguni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ma engineer ndio wameandika 10yrs ago[emoji23][emoji23]sasa we kilio chako hata ukilia wala hawatokiskia..Level inaanza kuhesabika from the ground hata ground ni level thats y inakua three level kwann ulazmishe kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani pangani ikiwa two level munaugua malaria au????
So bus moja ikiungua inamaana ni zote mbona hazikuungua zote tukajua 🤣🤣 au hujui maana ya chombo cha moto BRT inakuuma sana 😅😅😅
🤣🤣👇👇👇👇sitakuangushaMzungu yupi huyo[emoji23][emoji23]
Mbna unajitetea na vitu usivyokua na ushahidi navyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha weee, kwhyo wewe unawabishi engineers sioHiyo "below ground level" si term bali ni sentensi inayo-describe kilichopo under the ground level yaani tunnel,level sharti iwe kutoka kwenye uso wa dunia kuelekea juu..
🤣🤣🤣🤣🤣 leo munalazmiaha two level iitwe three level kisa ubungo imekamilika sasa🤣🤣🤣🤣 kazi munayo basiMa engineer ndio wameandika 10yrs ago[emoji23][emoji23]sasa we kilio chako hata ukilia wala hawatokiskia..
Kwhyo unapinga km below ground hakuna level sio[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sn picha kali mno nimeisave hii kwa matumizi ya baadae, ila wakenya cku hz mshaelewa kwmb Tz kiboko, angalia mazingira hayo nyuma ya bus mpk raha [emoji3][emoji3][emoji3]Scrapper[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1645756
Kwn groun level sio sentensi sio, bwahahah.eti vibwengo wanataka washindane na engineers[emoji23][emoji23]Hiyo "below ground level" si term bali ni sentensi inayo-describe kilichopo under the ground level yaani tunnel,level sharti iwe kutoka kwenye uso wa dunia kuelekea juu..
Screenshot nizione zimepaki[emoji23][emoji23]Angalia video vzr utajua zinapaki wapi au video hujaangalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwasababu unaongea ujinga na kung'ang'aniaJuu nimesema ukweli?[emoji23][emoji23]