Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

garimoshi kama "lenyu" tena tayari lime-break down tayari! Kenya and Nigeria r birds of the same feathers!

 
Si mwanza ni city bana, tunataka kuona public transport mwanza vitu vinqpaki wapi[emoji23][emoji23]
Km hakuna uache kelele na stendi za mabasi ambazo sisi sio kipaumbele kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza huiwezi wewe wachana nayo kabisa ww tafuta sector nyingine lakini sio bus stage hio wachana nayo 🀣🀣🀣
 
Unatuletea stendi za mabasi ya mikoani wakati hku kwetu kila kampuni wana ofisi zao..
Nataka kuziona za daladala mijini

Sent using Jamii Forums mobile app
So hutaki kuona hzo 🀣🀣🀣🀣 mkikosa bus stage munasingizia kila bus ina ofisi zao na hii utumbo munajenga ya nn sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Tatizo sio kukubali, hapa nataka kukujuza maana ya level ndio uelewe..

Hapo pa wewe kukubali au kukataa hainihusu bora ukweli uwe umekuingia kujua maana ya level ni nini
Kwa akili yako level huwa chini ya ardhi!??..nyie mbona vilaza sana!!..ile ya ardhini ndo level ya kwanza ndo huitwa ground level,inayofuata ni level ya pili kwenda juu,ile ya chini ya ardhi si level,ila inaitwa below the ground level,huitwa tunnel..jifunze maana ya neno "level" acha bishani za kijinga
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kashaelewa kua pangani ni two level interchange na kashajua hawana three level interchange
 
Hasira zote zimekuja baada ya kugundua hawana three level interchange 🀣🀣🀣
 
Daladala zinapaki wapi[emoji23][emoji23]
Manake km ni sisi mabasi ya mikoani hatuyajengei stendi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio sababu ninyi ni failed state, kwahiyo kama kuna kampuni 300 kila kampuni lina ofisi yake, abiria anapaswa kutafuta na kujua ofisi zote 300 zilipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
"is a not a swahili word"
We mr broken tangu lini ukaweza kumfunza mtu lugha ambayo we mwenyewe huiwezi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…