Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kitu nmejifunza kwmb wakenya mnatuonea wivu mno kwa maendeleo tuliyoyafikia so far mana mlikuwa mnasema you don't need brt now u have changed the motion kwmb mnashangilia [emoji3][emoji3]
Naona unazitaja tabia zenu
 
So mnapishania kulia cku hz na abiria ni wazungu tu, wallahi jokes will never end [emoji3][emoji3]
Mbna unakwepa swali, umeambiwa NAMATA ndio nembo ya mabasi yetu sasa wewe km unajua sana reverse hyo picha manake naona umeshindwa kuleta nchi ambayo inatumia hilo jina kw mabasi yao ya BRT
 
Unaona machinga, chokora hapo? Cheki usafi uliopo hapo bro mjifunze
Kha!![emoji23][emoji23][emoji23]
Si nlikwambia nitakuumbua jamani[emoji23][emoji23]
Alafu nasubiria unionyeshe wamachinga katika ile picha umequote, lkn naona umeanza kujeuza gear anagani[emoji23][emoji23]
 
Show him this image in case hajui maana ya Namata[emoji23]
Kha!![emoji23][emoji23][emoji23]
Si nlikwambia nitakuumbua jamani[emoji23][emoji23]
Alafu nasubiria unionyeshe wamachinga katika ile picha umequote, lkn naona umeanza kujeuza gear anagani[emoji23][emoji23]
 
Ndio hii double track SGR ya Nigeria iliyoanza testing juzi. Imejengwa na Wachina. Nataka kusikia ng'ombe za Kitanzania zikicheka SGR ya Nigeria.

 
Kha!![emoji23][emoji23][emoji23]
Si nlikwambia nitakuumbua jamani[emoji23][emoji23]
Alafu nasubiria unionyeshe wamachinga katika ile picha umequote, lkn naona umeanza kujeuza gear anagani[emoji23][emoji23]
Bro Sisi tunafanya mambo kwa mpangilio cheki stendi ilivo kaa nawapa mda tuone stendi yenu ikigeuzwa muthurwa Ile soko yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…