joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kenya ndio mpo hovyo barabani mkifuatiwa na Uganda, hamna nidhamu barabari kabisaaa, na mkiongezea corruption, hakuna basi ya BRT itajayofika on time.Unadhani madereva wa Kenya ni washamba kama hao wachawi wa huko kwenu?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kenya ndio mpo hovyo barabani mkifuatiwa na Uganda, hamna nidhamu barabari kabisaaa, na mkiongezea corruption, hakuna basi ya BRT itajayofika on time.
Kwa ufupi Kenya BRT imewashinda kama hamtojenga special lanes.
Hizo pillars zinamaanisha kuwa hizi lanes za BRT zitakuwa special lanes. Hii itakuwa flyover na wala haitagusana na lanes za chini. Kwa hivyo Brt buses hazitatangamana na magari zilizo kwenye lanes za chini.Kenya ndio mpo hovyo barabani mkifuatiwa na Uganda, hamna nidhamu barabari kabisaaa, na mkiongezea corruption, hakuna basi ya BRT itajayofika on time.
Kwa ufupi Kenya BRT imewashinda kama hamtojenga special lanes.
Has google ever celebrated your independence day?[emoji23][emoji23]Kama sio maarufu mbona mnapenda kufatilia maswala ya Tanzania sana?
Hahahaha, kwa bajeti ya Kshs5.6B?. Hizo pillars ni kwa ajili ya stations na daraja za juu za watu kuvuka kwa miguu, hakuna nchi yoyote hapa Africa yenye uwezo wa kujenga barabara za BRT zikiwa zimenyanyuliwa juu kwa zaidi ya Kilometers 50, kwa uchumi upi huo mlionao wakati hata hiyo inayoenda JKIA mtalipisha road toll?BRT lanes zitainuliwa juu kama tu expressway. Kwani unadhani kazi ya hizo pillars ni nini? Unadhani hizo pillars zinajengwa ili kuwa kivutio cha utalii? Baada ya hizo pillars kusimama basi barabara ya BRT itatandazwa juu yake na kwa hivyo tutakuwa na flyover ya Brt.
Hahahaaaa so mnaipaka rangi Thika road pale katikati zen mnaandika "only brt" naona kuna watu wanaenda kula pesa ya kutosha hapa.Do you have another question?Ama unataka construction board pia?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]
BRT lanes zitainuliwa juu kama tu expressway. Kwani unadhani kazi ya hizo pillars ni nini? Unadhani hizo pillars zinajengwa ili kuwa kivutio cha utalii? Baada ya hizo pillars kusimama basi barabara ya BRT itatandazwa juu yake na kwa hivyo tutakuwa na flyover ya Brt.
Kuna shida tukipaka rangi?[emoji1787][emoji1787][emoji23]Umeskia mkenya yeyote akilalamika?[emoji1787][emoji1787][emoji23]Hahahaaaa so mnaipaka rangi Thika road pale katikati zen mnaandika "only brt" naona kuna watu wanaenda kula pesa ya kutosha hapa.
Wakenya nawaonea huruma sana cz viongozi wenu hawana uzalendo kabisa, wamekurupuka ili kwenda sawa na Tz [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uchumi upi kujenga eleveted roads mji mzima?, hata Egypt au South Africa hawawezi, hata developed countries hiyo kitu sio rahisi.Hizo pillars zinamaanisha kuwa hizi lanes za BRT zitakuwa special lanes. Hii itakuwa flyover na wala haitagusana na lanes za chini. Kwa hivyo Brt buses hazitatangamana na magari zilizo kwenye lanes za chini.
Nani amekuambia zitainuliwa kwa kilomita 50? Mbona unajijazia mambo yako tu? Hii ni Brt phase 1 na itakuwa kilomita chache tu.Hahahaha, kwa bajeti ya Kshs5.6B?. Hizo pillars ni kwa ajili ya stations na daraja za juu za watu kuvuka kwa miguu, hakuna nchi yoyote hapa Africa yenye uwezo wa kujenga barabara za BRT zikiwa zimenyanyuliwa juu kwa zaidi ya Kilometers 50, kwa uchumi upi huo mlionao wakati hata hiyo inayoenda JKIA mtalipisha road toll?
Wanapaka rangi mkuu soma ile article [emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha, Ksh 5.6B kujenga BRT lanes?, labda ni kilometa moja pekee, kuweni serious kidogo, mtaishia kupaka rangi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona sasa uchungu na wivu imeanza kuingia. Sasa ndio umejua kwamba sisi huku hatuchezi. Yaani tunajenga Brt iliyoinuliwa juu na wakati huo huo tunajenga expressway iliyoinuliwa juu.Kwa uchumi upi kujenga eleveted roads mji mzima?, hata Egypt au South Africa hawawezi, hata developed countries hiyo kitu sio rahisi.
Hiyo ipo Thika road, tuambie itajengwa hadi wapi na kwa bajeti kiasi gani, kwasababu hili kampuni la China limepata kandarasi ya Ksh 5.6B pekee, wewe tuambie kwa hiyo pesa, itajenga eleveted road kiasi gani?Nani amekuambia zitainuliwa kwa kilomita 50? Mbona unajijazia mambo yako tu? Hii ni Brt phase 1 na itakuwa kilomita chache tu.
Naona wivu imeanza kuwaingia wakati mumegundua kuwa Brt yetu itainuliwa juu huku yenu ikiwa chini kwenye sakafu. Kutangulia sio kufika aisee. Halafu kumbuka tunajenga expressway ambayo ni kilomita 27 na asilimia kubwa imeinuliwa juu.
Wenako wote wamekubali kwamba ni vituo pekee ndio vinajengwa na daraja za watembea kwa miguu, Kenya hamna uwezo wa kujenga special lanes.Naona sasa uchungu na wivu imeanza kuingia. Sasa ndio umejua kwamba sisi huku hatuchezi. Yaani tunajenga Brt iliyoinuliwa juu na wakati huo huo tunajenga expressway iliyoinuliwa juu.
Endelea kuota ni sehemu ya kujiliwaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona wivu imeanza kuwaingia wakati mumegundua kuwa Brt yetu itainuliwa juu huku yenu ikiwa chini kwenye sakafu. Kutangulia sio kufika aisee. Halafu kumbuka tunajenga expressway ambayo ni kilomita 27 na asilimia kubwa imeinuliwa juu.
Article haisemi kwamba mtainua pillars for brt lanes bali mtatumia Thika road which means mtapaka rangi, hiyo footbridge uliyoweka hapo ita act km station [emoji3][emoji3][emoji3]joto la jiwe ichoboy01
Kama muonavyo kwenye picha hii, kampuni inayojenga hii BRT inaitwa STECOL. Hata wameshaanza kuweka mabati ya kuziba site ya ujenzi ili kuzuia watu kupita na kusecure site for construction. Ujenzi ndio unaanza tu by next year pillars zitakuwa zinaonekana.
View attachment 1645404
Hata iyo pia ni wachina ndo watapaka rangi Thika road iwe ina brt lanes, yn pesa ya kupaka rangi na kujenga vi station watatoa wachina [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha, kwa bajeti ya Kshs5.6B?. Hizo pillars ni kwa ajili ya stations na daraja za juu za watu kuvuka kwa miguu, hakuna nchi yoyote hapa Africa yenye uwezo wa kujenga barabara za BRT zikiwa zimenyanyuliwa juu kwa zaidi ya Kilometers 50, kwa uchumi upi huo mlionao wakati hata hiyo inayoenda JKIA mtalipisha road toll?
Ss mwambie Tony254 kwmb mnapaka rangi mana hafahamu hilo amekazania elevated lanes[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna shida tukipaka rangi?[emoji1787][emoji1787][emoji23]Umeskia mkenya yeyote akilalamika?[emoji1787][emoji1787][emoji23]