Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Without Tanzania markets, Kenyan companies shall collapse, they are here looking for big money, the same way people around the world go to USA, China and Europe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaiyo hiyo pisi kali sio wewe ? Toto la Mombasa?
We avatar yangu inakuhusia nn jamani, mbna hamjui ku mind vitu vyenu..we fuata kilichokuleta hapa..
Wala hutonikuta mimi nahangaika na avatar za wengine
 
Bwahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchele wetu wa ziada tunanua thailand, pakistan, india wala hapo hakuna tanzania sahau kabisa kuhusu hilo..
Na majority ni parkistan[emoji23]
 
Hyo kasumba ndio tumeshaiweka shimoni, tafuta tanzania hapo ukiiukuta natoka jf..
 
As others are celebrating a 9km kibaka road of 6 lanes, Mombasa is just Smiling about this 42km road with 8 lanes, a three level interchange and the second underpass in East and Central Africa.


Your arguement sound pathetic, what a waste, big head with no brain[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Hata ndege pia wanakodi kutoka kenya
 
We huoni hapo singida ni padogi alafu panatumika km eneo la kumeesha miti
Ile picha ya wale "wakenya" wakitembea katikati mwa barabara na nyinyi mkidhani wapo kwenye "middlewalk" inaonekana kabisa wale jamaa ni wageni. Kisheria (US) hairuhusiwi pedestrians kutembea/kuvuka katikati ya barabara, hilo ni kosa la Jay walking, polisi akikukamata anaweza kukupa ticket (fine).
 
Hahahah!!unafikiria USA ni nchi ya kitopolo, kule ma snitch kibao hapo km ingelikua hairuhusiwi hakungelikosekana mzungu kuvuta waya juu kw 911 ungeliona vile hao jamaa wangekisimamishwa na kupewa tiketi zao kwanza vile ni blacks..

Achana na wazungu kw usnitch wewe, hata akikuona ume tress pass sehemu ambayo haimuhusu haswa bado atakupeana sana sana wanawake wao
 
Hayo mambo ya kina "Karen" ku snitch huwa yapo kwenye suburbs, mjini kila mtu anapambana na hali yake.
 
Hayo mambo ya kina "Karen" ku snitch huwa yapo kwenye suburbs, mjini kila mtu na mambo yake.
Kumbe wayajua mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao achana nao bana anytime unaweza jikuta umetokezewa na polisi
 
Daaah wazee wa sifa nini kingine mlisaadia kutengeneza?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ