Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ulitarajia matusi wakati nchi enye sio yao?[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
And you also have this as well[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Itโ€™s funny how someone says that theyโ€™ve grown up thinking Tanzanians are stupid and poor[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bitch, we have twice more dollar millionaires than you!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚heeheee lakini hawakomi eti๐Ÿ˜
 
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃnilijua hauna makende kabisaa! umekunja mkia kati kati ya miguu unatafuta pa kutokea kama kawaida yako, umekosa hewa?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ungeangalia vigezo pia, kaka Tanzania nimeifanyia proper research, na nakubaliana na world bank, extreme poverty inawatesa sana.., hayo si hoja kwa sasa, wewe nimekwambia mwaga hayo masoko yenu humu, unangoja nini tena? am here waiting...
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚heeheee lakini hawakomi eti๐Ÿ˜
LOL yaani cities zao zote zipo kileleni kwenye poorest counties the country could ever offer ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
K
Kisumu na mwanza are serius hayo si matusi kwa mwanza ziwa victoria boss wao ni mwanza. Mwanza ndo inacontrol victoria lake kibiashara na kila kitu.
 
Hakuna town yoyote Kenya out of your top 10 yenye hii neighborhood, Musoma inaicharaza kisumu (the poorest of yours) bila huruma

View attachment 1643392View attachment 1643393
wakati mwingine ukipita tu kimya kimya ulivyo punguani watu watadhani wewe uko na hekima, najua hauna., mbona unajipiga risasi mguu kirahisi hivi? ow old are u? pengine hauja balehe akilini ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ unachosha kweli., na kuchekesha pia, hiyo unasifia eti residential, kwa machungu ulio nayo unataja Kisumu., what Kisumu has zinapatikana tu in Dar., meza wembe., kisha mwaga hayo masoko yenu humu nangoja.,
 
Kama ubavu unao leta neighborhood kisumu yenye hiyo quality ๐Ÿ˜… mbona simple tu
 
Vihiga ndio your poorest County kisha Mombasa, kisumu

Sasa niletee the best of Vihiga, mimi nikuletee the best of Lindi

Are you there? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kazi ianze sasa
 
And you also have this as well[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 1643395
First of all, Tanzania has reduced the number of poor people than any other country in sub Saharan Africa in the last ten years. Extremely Poor people are everywhere, including Kenya! And this blog by the world bank proves that.



The fact that you have one of the poorest populations in Africa and youโ€™re not in the top ten of the African countries that have reduced poverty the most shows that Poverty in Kenya is a big problem! Continue mocking us with that stupid screenshot while we continue eradicating poverty!

And hereโ€™s the link to help you read more

 
Vihiga ndio your poorest County kisha Mombasa, kisumu

Sasa niletee the best of Vihiga, mimi nikuletee the best of Lindi

Are you there? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kazi ianze sasa
Sasa unaona how clueless you are?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, again, how can Vihiga be the poorest(an opinion) in what ways is it poor? Do u even know? besides, Vihiga is not a town at all!, it is a market centre, ama unaongelea Vihiga county which encompases Vihiga market, Chavakali na Mbale, Mbale is their seat of government!.,

So Vihiga market cannot be even in top 35! Not ranked in kenya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Does that link make Kenya to have more poor people than Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Itoe hyo central kenya alafu uje[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ