Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Collo ka waulize superbrands hizo inch ..ila kilichoandikwa ndo hiko
 
apa pia kuna rumour ya Rihanna na Nikki Minaj kupiga show huku lakini tumetulia tu kama maji ya mtungi!
punguza mbwembwe
 
Collo ka waulize superbrands hizo inch ..ila kilichoandikwa ndo hiko
Mzae yani mmekosa chakushow mnaongoza EA hadi mkamuulia screen[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Rumour?? Don't u have screen shots for that rumour? ....ata mungu akuje Tanzania Leo you're still behind ke
neymar yupo vacation Zimbabwe, but kuna tetesi his next destination after Zimbabwe is tanzania.

hizo ni tetesi,hakuna mwenye uhahika since first class celebrities ni watu wa privacy.
 
who is the fool here????you just posted something saying the total cement production of tanzania is 1.6 million tonnes and here you are again saying dangote ana produce 3 million tonnes peke yake.
can you get any dumber????????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
apa pia kuna rumour ya Rihanna na Nikki Minaj kupiga show huku lakini tumetulia tu kama maji ya mtungi!
punguza mbwembwe
kila la heri ktk hilo but tofautisha mtu anayekuja nchini kwako kwa vacation na yule anayekuja kufanya kazi ya kutumbuiza majukwaani.

hata Angelina jolie yupo huko kwenyu kwa shughuli maalum ya hisani.


kwa sasa,sisi tunapokea celebrities wanaokuja tz kula bata na kufanya utalii.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pata picha hotel yenye kipindupindu ni ya "Ruto Singh" hachelewi kudai NASA wanahusika..
 
Nchi ya wakora๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ