Jamaa anapenda kujitoa ufahamu sana huyoThere are only four countries in sub Saharan Africa with that type of interchange.
South Africa.
Nigeria
Ghana
Kenya.
Remember all those countries are far much developed than Tanzania[emoji23]
🤣🤣🤣Dar ata haiwezi Kampla sumbuse jbourgSure, nyie level yenu ni kampala asanteni kwa kuadmit battle closed.
NAIROBI VS KAMPALA ndo battle linafuta sisi
DAR VS JOHNESBURG
Mbona unarudia n ...nilish kwambia hii syo interchange ni overpassEleventh interchange.View attachment 1642905
Hahaha nimewaambia mtanzania hawaziniambia anything kwa mambo za barabara. Google Museum hill interchange alafu ujielimishe huko[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona unarudia n ...nilish kwambia hii syo interchange ni overpass
Umebaki ku quote picha kinyonge yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hii ni interchange[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Apan ni 20+ lile liko na bank ya CRDBGhorofa lefu zaidi hapo ni floor 5 hahaha stop joking[emoji23] kariakoo jengo lefu lina floor 15
Tuonyeshe hyo article iliyoandikwa ya pangani after magu kuzingua...Walipoona wameramba kinyesi waka force two level na yenyewe iitwe three level [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116] magu kiboko aisee
View attachment 1642887
Vipi kwqni kampala inawasumbua uko Nairobi maana sisi tulishatoka uko zamani na hatuaangaliagi nyuma sisi tunaenda mbele so kampala tutawapa Arusha wamalizane nae kuisave Nairobi.🤣🤣🤣Dar ata haiwezi Kampla sumbuse jbourg
Alafu kwanini usiwe serious ww...kwaiyo umemaliz[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...aya wachana n uganda tuendele n interchanges[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji381]Hii ni Uganda,Do you have something like this in Tanzania?[emoji23][emoji23]View attachment 1642935
Jamaa pressure itawamaliza Dar sio level Yao Dsm is well planned ukilinganisha na Nairobi Yao wazee wanaota na brt tu 🙂Hii iko Dar peke yakeView attachment 1643024
Akili yako ya kidwanzi kwelAlowaomba wakenya izi niterchange amenifanya nijue kumbe hata izi vitu wanazosema wanazonyingi kumbe hawana yani interchange+flyovers+overpass Nairobi hazifiki 11. Yani wametuzidi chini ya 5. Maana sisi tuna 3, na 3 nyingine ziko U/C so jumla 6. Ila kelele zao na dharau utafikiri wao zinafika angalau 15.
Wivu m'baya jamani, sasa si ulitakiwa wewe uweke hzo alizorudia ndio umkamate wenzio waanze kunengua manake kitambo wanahamu viuno bado havijakataSasa nani anataka izo namba umeambiwa weka picha na jina umeshindwa kufika hata 8. Umebaki unarudia tu. Hata kama ziko 100 weka picha afu unaipa jina. Sio maneno tu hata me naweza sema dar zipo 100 na nyingine 200 underconstruction.
Kwa mambo za barabara Dar ni level ya Mogadishu, forget about joziunatakiwa kujua Dar is well planned tunafanya vitu kwa utaratibu sio kukurupuka kama nyie BRT inawapiga chenga
Hongera kwa kujua neno UDUWANZI!!Akili yako ya kidwanzi kwel
Inafanana na Thika road enzi za mzee Kenyatta🤣[/QUOTE]Hio tunaiwekea Brt lanes katikati soon[QaUOTE="tuusan, post: 37492648, member: 373150"]
Nyerere road dsmView attachment 1643016
Kumbe ita...sio inazo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Tanzania yote kuna interchanges mbili na overpass moja. Nairobi alone has 20 interchanges pekee. Remember expressway will have 11 interchanges and western Bypass will have more than seven interchanges which will bring the total number of interchanges to more than 40[emoji1787][emoji1787][emoji23]