Naona unatafuta pa kutokea sio, sasa kw taarifa yako kenya watu wanamiliki ardhi na pia ukijiskia unanua na hakuna siku utaambiwa imeisha..Kwa sasa hamna mpinzani kwa upande wa slums, kubali kwanza hilo,halafu hayo mambo ya kubomoa sijui flyover yaje baadae
Najua jinsi ilivyo ngumu kwa mkenya kumiliki ardhi katika nchi yao wenyewe
Ni rahisi kwa muhindi kutoka india kumiliki ardhi kuliko mkenya aliyezaliwa kenya..
When we say kenya is failed state,we mean it
Enhee kampala mtawezana maana ndo level yenuHaya😳hapa Ni UG wewe???,wako sawa sana,am shocked!!!!I think hi battle inatakiwa kuwa between Nairobi vs Kampla,, roads zao tamu Sana sjui tunajisumbua na Dar na hakuna kitu after kuona Kampla
Bro wanaweza wakawa na zote hizo sio ajabu Ila tukiangalia swala la quality tunawapiga chini mwisho wa siku Tanzania tuko juu tanajenga vitu first class kumbuka zarau zao zitakuja kufika mwisho insha'AllahTeaga
Nani amekudanganya Southern Bypass iko na interchange moja?[emoji23][emoji23][emoji1787] All these interchanges ziko Southern Bypass.Na namba 1 ndio southern bypass au ndo iyo iyo kama ndo iyo basi ni picha ya 3 iyo.
View attachment 1643008
Hii iko U/C at 96%complete
Uganda hawawez kutusumbua View attachment 1642953
Only to poor kunyan minded[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii Pangani inatesa watu akili kweli. The first and I repeat, the first three level interchange in East and Central Africa. View attachment 1642894
Iko poa kweli hata mm ni nmeitumia ijumaa...sasa foleni lote limehamia Kibaha-Mlandizinyie hii barabara ni ndefu na ina hatari sana.. nimepita jana kutokea mlandizi, watu wanaenda speed sana.. mistake kidogo tu (mfano brake kufeli) umekwisha
Yani ivyo vi interchange vinne vinamalizwa na babalao moja tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii yako ni sawa na kusema pale kurasini kuna interchange 3 ndo mna zinafika 10.. ila iyo kwetu ni moja tu.Huna hata akili hizo places zinafana?[emoji23][emoji23]
Number 4 is Southern Bypass-Ngong'Road interchange
Number 8 is Donholm interchange.
Emu rudia train[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Miongoni mwa miradi ambayo hainitishi basi ni huu, cz najua mmekurupuka ili kwenda sawa na Tz lkn wp, hii inapigwa chini fasta kabla hata haijazinduliwa, mapema sn hapo April 2021 huo mradi utakuwa ushazikwa na modern bullet train ukizingatia hiyo express way ni the biggest white [emoji208][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ndo tunaenda uko si unaona Nairobi saivi hawatuwezi wameopt kucompete na Kampala?Jo'burgy iko league yake kaka
Kwaiyo hii kumbe ni interchange[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Here is the tenth one.View attachment 1642903
Hii yako ni sawa na kusema pale kurasini kuna interchange 3 ndo mna zinafika 10.. ila iyo kwetu ni moja tu.
View attachment 1643015
Tangu lini render ikawa interchange[emoji23][emoji23]Kwaiyo hii kumbe ni interchange[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1643017
Iko poa kweli hata mm ni nmeitumia ijumaa...sasa foleni lote limehamia Kibaha-Mlandizi
Ohooonimetumia njia ya tumbi na ile barabara ya zaman ya mlandizi
Kwa mambo za barabara Dar ni level ya Mogadishu, forget about jozi[emoji23][emoji23]Ndo tunaenda uko si unaona Nairobi saivi hawatuwezi wameopt kucompete na Kampala?
We jamaa mshamba jamani[emoji1787][emoji1787]Hiii sio level ya Tz...nenda malawi mtaelewana saresare maua[emoji23][emoji23][emoji23] vitu cheap
Now you play lunatic card....remember you said that your country have 20 interchanges...we need to see more , so far i see only 4 cheap malawi style interchangesHere is the tenth one.View attachment 1642903