Talking of majumba marefu, what does Dar have save for those three blue towers. Secondly, majumba za 20 floors ziko nyingi sana Mombasa and many more are still in the pipeline. Niambie ni wapi bongo kuna jumba la 20 floors kando na DarHahaha mombasa haina mishemishe?hamna majumba marefu?sioni magari barabarani,sioni kitu cha mombasa kinachoendana na Dar sijakiona
Mombasa haiwezan na Dar kwa nyumba wacha ubishi,Nje ya Dar hakunaTalking of majumba marefu, what does Dar have save for those three blue towers. Secondly, majumba za 20 floors ziko nyingi sana Mombasa and many more are still in the pipeline. Niambie ni wapi bongo kuna jumba la 20 floors kando na Dar
Mzaha gani? Kwani ni uwongo Nairobi inazidi Dar kiuchumi na kimaendeleo?Kuna muda hua unaongea facts sema unamizaha sana
Rika ya Dar ni Mombasa kakaMombasa haiwezan na Dar kwa nyumba wacha ubishi,Nje ya Dar hakuna
Inategemea maana nimeona apo Nairobi bado kuna maeneo hata maji ni shida na slum za nguvu kwelikweli Au wewe unazungumzia Karen vs Oysterbay n the likes? Zungumzia kwa ujumla wakeMzaha gani? Kwani ni uwongo Nairobi inazidi Dar kiuchumi na kimaendeleo?
Mombasa ipambane na kampala nashuku hata kama itaiwezaRika ya Dar ni Mombasa kaka
Hayo ni maoni yako lakini hakuna kitu nairobi inaishinda dar,labda slum tuNa hiyo udogo wake inashinda Dar kwa kila kitu. Kiuchumi, kimaendeleo, kistawi, kiushawishi nk. Huoni kwamba mmelemaa mahali? 😂
Talking of majumba marefu, what does Dar have save for those three blue towers. Secondly, majumba za 20 floors ziko nyingi sana Mombasa and many more are still in the pipeline. Niambie ni wapi bongo kuna jumba la 20 floors kando na Dar
Tofauti yetu na nyinyi ni kwamba sisi tunakubali mapungufu yetu ila nyinyi hamkubali. Slums ziko Nairobi na hakuna anayekataa pia maji huwa ni tatizo hasa wakati wa kiangazi. But these can't downplay the fact that Nairobi is far ahead of Dar when it comes to urban planning and housing. Najua ushabiki haitakurusu kukubali hili but that's the factInategemea maana nimeona apo Nairobi bado kuna maeneo hata maji ni shida na slum za nguvu kwelikweli Au wewe unazungumzia Karen vs Oysterbay n the likes? Zungumzia kwa ujumla wake
Dar inashinda Nairobi kiuchumi?Hayo ni maoni yako lakini hakuna kitu nairobi inaishinda dar,labda slum tu
Uko na uhakika? 😂 😂Mombasa ipambane na kampala nashuku hata kama itaiweza
Jaribu kuchek tu kwanza mali zilizopo Kampala zinazidi mombasaUko na uhakika? [emoji23] [emoji23]
Unamzidi mtu kwa planning tu?Dar kulikua na shida sana ya maji ila since Jpm era iyo shida inapungua kwa kasi ya kasi ya mwanga...mnaopt vp kujenga express way wakat maji ndio basic need ya watu na hamna? So nyie mna misplaced prioritiesTofauti yetu na nyinyi ni kwamba sisi tunakubali mapungufu yetu ila nyinyi hamkubali. Slums ziko Nairobi na hakuna anayekataa pia maji huwa ni tatizo hasa wakati wa kiangazi. But these can't downplay the fact that Nairobi is far ahead of Dar when it comes to urban planning and housing. Najua ushabiki haitakurusu kukubali hili but that's the fact
Uhakika sina nashuku tuUko na uhakika? [emoji23] [emoji23]
We jamaa sometimes huwa hujielewi, yaani Mombasa ipambane na Kampala? Ulishafika Kampala? Mombasa haifikii hata Jinja unless hujawahi fika MombasaJaribu kuchek tu kwanza mali zilizopo Kampala zinazidi mombasa
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Taratibu kiongozi wacha pupaWe jamaa sometimes huwa hujielewi, yaani Mombasa ipambane na Kampala? Ulishafika Kampala? Mombasa haifikii hata Jinja unless hujawahi fika Mombasa
Halafu unaonekana umekaa sana huko Kenya, ni mara chache sana mtanzania anasema 'wacha' 😅 'acha'Taratibu kiongozi wacha pupa
Uongee kwa adabu pia unapotaja taja MwanzaNever again compare Mombasa with Mwanza,, league yake no Dar
So kwako kujenga barabara is a misplaced priority?! Mbona nyinyi mkajenga sgr wakati Dar haina a reliable sewer system hadi cbd? Is that also misplaced priority? Tatizo la maji lipo hata Cape Town. And then it's not like maji haiko Nairobi, huwa ni shida haswa wakati wa kiangazi coz maji yanayotumika Nairobi come from outside Nairobi.Unamzidi mtu kwa planning tu?Dar kulikua na shida sana ya maji ila since Jpm era iyo shida inapungua kwa kasi ya kasi ya mwanga...mnaopt vp kujenga express way wakat maji ndio basic need ya watu na hamna? So nyie mna misplaced priorities
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
LOL they wish to reach out here, hicho kijiji chao labda kiwekwe na PembaUongee kwa adabu pia unapotaja taja Mwanza View attachment 1640246