Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwepo si hoja,hiace zipo hadi america..huku hiace haitumiki kwa public transport,only for private use,huku passengers wanapanda coaster,hiace a.k.a vipanya tumewaachia nyie
Kwa hivyo tatizo kwako ni kwamba zinatumika kwa public transport? Lakini zikitumika kama private means hamna tatizo
 
Kwa hivyo 1989 watanzania walikuwa wakitumia simu za rununu? Na pia service provider ilikuwa ni vodacom? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Wewe unajua vodacom ilianzishwa mwaka gani?
 
Kwa hivyo 1989 watanzania walikuwa wakitumia simu za rununu? Na pia service provider ilikuwa ni vodacom? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Wewe unajua vodacom ilianzishwa mwaka gani?
Sasa hapo si nimeshakwambia 1994 ,hiyo 89 hiyo hiace ya stesheni,kwani we umepost picha ngapi?!,hapo umechanganya ma-file umepost picha za 1989,1994(vodacom),2007,2018...hakuna ya 2020
 
Nishakuambia Kibera is only 2.5 square kilometers big. You can't compare with the infamous dream houses of Dar that cover almost the entire city.

Compare and contrast kisha ujijibu View attachment 1638335View attachment 1638340
Tuonyeshe hizo dream houses tuzione kwa karibu, hapo hizo picha tunaona bati kwa juu, haionyeshi kwamba ni mabanda au ni nyumba za tofali, tunataka kuona kama hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zoom tuone sasa hio slum ambayo mpaka leo mzungu hajagundua [emoji28][emoji28]
Hawezi wala haitotokea akapnyesha nyumba zenyewe, kwasababu anajua atadhalilika, hizo picha nyingi sio Tanzania, ambazo ni Tanzania nyumba ni nzuri sio mabanda ndio sababu anaonyesha picha kwa mbali.[emoji23][emoji23]
 
Okay I get you now. That's how you all reason. Hauna tofauti na wenzako
Hizo hiace kwa mega city hasa jiji kuu lenye watu zaidi ya 7 mill tutatoshana kweli kwa vipanya(hiace)..that's why,serikali ikapiga marufuku na kuweka sheria kali juu ya public transport,huku bongo huwezi kubadilisha canter for luggage iwe inabeba passengers kama mnavyofanya nairobi,do you understand!??
Lemme tell you something,huku tunatumia hiace kama family car when we go out,may be picnic or beach,tena si hiace hizo,ni hiace new model,sijui unaelewa?!
 
The newest Overpass in Nairobi,,more are coming, actually we launch like two per year,#construction back to back๐Ÿ˜๐Ÿ˜‹
 
Sisi hatuna slums. Tuko na dream houses. Walisikika watanzania wakisema ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Kwa hivyo leo kuna slums Tanzania? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Tuamini nani kati yako na vilaza wenzako wanaosema hamna?
 
Sisi hatuna slums. Tuko na dream houses. Walisikika watanzania wakisema [emoji23] [emoji23] View attachment 1638485View attachment 1638486View attachment 1638487View attachment 1638488View attachment 1638489
Picha ya pili ndio picha halisi ya makazi, unaweza kuona hizo ni nyumba za blocks, zikiwa na madirisha na milango, ndani zote zina vyoo, na "sanitations" ni nzuri.

Picha ya kwanza ni sehemu ya biashara, hakuna makazi ya watu hapo, picha ya nne ni karakana hakuna watu wala makazi ya watu.

Weka video kama hizi
 
Ndio kazi ya BRT na BRT zote duniani ndio kazi yake๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ akili za mkenya ni za kimskini sana
View attachment 1638314View attachment 1638315View attachment 1638316View attachment 1638317
Kama mwendo ni huo basi hakuna cha kujivunia hapa. Mbona niingie kwenye basi kisha nibanwe na watu mithili ya gunia za mahindi kwenye kona? Alafu nijione eti natumia huduma bora ya usafiri!! Eti nivumilie kusimama kando ya mtu ananuka makwapa na mdomo! No nimelipa nauli!!!!
 
Denial as usual. You will even deny your own existence soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ