kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
wanyama amekimbia kipindupindu cha Nairobi.note that.Yani mnasheherekea mkenya akikuja Tz....enyewe Kenya tuko juu
atakaa tanzania wiki mzima akila bata na kukutana na marafiki zake wa kibongo.

wanyama amekimbia kipindupindu cha Nairobi.note that.Yani mnasheherekea mkenya akikuja Tz....enyewe Kenya tuko juu

Hahahahahhahahahahahahahahahhahahahahahahahahaaahahkunguni kwenye matatu...kunguni kwenye matatu...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ndio hivyo comrade.Hahahahahhahahahahahahahahahhahahahahahahahahaaahah![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimecheka sana aisee!!,,!
What do you know about architecture?
Let me tell you something. Kenya state house was designed in Greek Architecture style, while Tanzania state house was designed in Islamic architecture style. Every architecture styles have it's common elements to identify itself. Any question? Suggestions?
This neanderthal is trying to justify their masjid musa mosque in the name of their statehouse.. ..............architect wa vijiweni
Mmesheherekea sana alipokuja hapo na vile mnachukiaga wakenyawanyama amekimbia kipindupindu cha Nairobi.note that.
atakaa tanzania wiki mzima akila bata na kukutana na marafiki zake wa kibongo.![]()
![]()
![]()
![]()
Hiya ndio majengo marefu zaidi east and Central AfricaTallest Tower in East & Central Africa View attachment 513642
Hiya ndio majengo marefu zaidi east and Central Africa
![]()
Huyo jamaa anaisifia BBC bila kujua adhari yao. BBC na Aljezillar nimoja kati ya station ambazo niwaanzilishi wakuu wa vita duniani. Ongelia Libya na Syria ni wao. They are having parasites in there country. Sorry Kimya. Unaambiwa yule muandishi wa habari aliye kuwa anataka kutoa habari za Kibiti BBC alishikwa nakuhojiwa.Miaka hairudi nyuma budaa😀😀😀😀😀😀
UAP and Britam are The tallest.
Mmesheherekea sana alipokuja hapo na vile mnachukiaga wakenya

Unavompare kwa kutumia picha...msee uko na kichaa nini??View attachment 529236
Kiboko ya britam hiyo apo ,yani poor brutam kamejikakamua na antenna lakini wapi kameachwa chini na antenna yake
Eeh ni poa kwetu pia kuona wakenya wenzetu celebs wakisheherekewa tzni kweli tunasherekea sana na wala si siri.
tunajua roho inawauma kwa wanyama kuja tz kufanya vacation.
tanzania ina vivutio vingi vya kutembelea kuzidi kenya.
sisi tuna 15 top rated tourist attractions wakati nyinyi mna 12 top rated tourist attractions
wanyama ana maeneo mengi ya kutembelea tz.
anaweza kwenda serengeti national park,zanzibar beaches,olduvai gorge,mafia island, pemba island, arusha national park, ruaha national park,katavi national park,lake nyasa beaches,pia anaweza kwenda kushangaa chimpanzee kule gombe stream national park.
hiyo ni kwa uchache tu,bado kuna vivutio vingi sijavitaja.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()