Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamekwisha mchina tayar kashafanya ile kazi sasa anaikamilisha tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Tuko nyuma wakat 2019 tanzania imeingiza 2.6b usd nyinyi mumeingiza 1.6b nani yuko nyuma ya mwenzie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nani ametajwa hapa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
 
Sasa unataka kulinganisha 1.5m tourists with 2.5m tourists?[emoji1787][emoji1787]
What about revenue ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… leo unajitoa kidole mwenyewe unaangalia number au unaangalia revenue

2.6b usd vs 1.6b ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mapovu yameanza kukutoka hyo ni world travel awards na bado mtazidi kusoma label Kenya c rika yenu mushindane na drc, Malawi usumbuji, Nigeria hzo ndio rika yenu
Huwezi fananisha tuzo zinazopogiwa kura na critics VS tuzo zinazopogiwa kura na raia zile tuzo za ku.share link mnipigie kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ