Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna investor anaweza kuinvest katika PPP huko Tanzania maana wananchi wao wana purchasing power kidogo.
Kwani unafkiri bagamoyo port iliku ni nn??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sababu za magu kuikataa siunazijua
 
Hakuna investor anaweza kuinvest katika PPP huko Tanzania maana wananchi wao wana purchasing power kidogo.
Hebu rudia neno lako kua tanzania purchasing power ni ndogo???πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hela ya kulipa iko wapi mzee 600ksh per car iko wapi kwa uchumi gani mliokua nao leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yatarudi yale yale ya SGR
Kama watanzania ni maskini kla mtu c maskini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umeskia 600ksh ni pesa kidogo sanaa kwa mkenya anayemiliki gari
 
Naona ujinga yako inakudanganya charges itakuwa 600bob. Hii ndio maana nasema unaumwa na hiyo project, charges za expressway itaanzia 150 bob up to 300 depending on the weight of your vehicle.
Hata ikiwa 600 mkenya anayemiliki gari haiwezi mshinda
 
wakenya ni vitu gani mnakubali kuwa Tanzania tumewapita au tunafanya vizuri zaidi yenu? mim kwenu mfano moja naona banks zenu zinajitahidi sana kuliko zetu [emoji112]

leo tujadili hili swala.. kama una mawazo tofauti leta hoja πŸ•ΊπŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…