Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Mambo zinazo endelea hapo Uganda , sijasikia hata taifa moja la mabeberu likiongea, dhairi kwamba hawana interest na Uganda sababu ya kutokuwa na resources wanazo hitaji ....vibwengu hawa....hii mambo ingekuwa Tz saivi kila nchi ingekuwa na lakuongelea



