Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante sn Kaka kwa kumwelewesha huyu ajuza komora096 unajuwa tunaposema tz ni tajiri kuna watu mpk watz bado hawaelewi, unaambiwa baada ya jiwe kukataza kusafirisha mchanga aliyekuja ni rais wa Barrick na co mtu mwengine yeyote, so inatakiwa ujiulize hapo na co unabweka tu km unayetaka kujifungua mapacha.
 

Jamaa anazingua sana amekua mshauri wa mambo ya familia sasa. Utazani yeye Mungu kupanga mtoto gani azaliwe
 
Naona povu la omo limejaa sasa.
Sisi tunapambania nchi wewe unaleta stori za mabeberu.

Kubeba boxes uswisi umeacha!?

Ndio nimeacha naunga juhudi za JPM hoye. Nazani tumuongezee miaka mingine 20 jamaa anafanya makubwa sana
 
Ndio nimeacha naunga juhudi za JPM hoye. Nazani tumuongezee miaka mingine 20 jamaa anafanya makubwa sana
Halafu nimeona kila sehemu unatumia neno "Nazani"
Siyo "Nazani" uwe unaandika "nadhani"

Neno hilo limetokana na nomino ya neno "dhani" maana yake ni:
"Hali ya kufikiri kitu bila hakika"
Kwa kingereza ni "assume"

Kwa maana hiyo nakutaka usiharibu lugha yetu "adhimu" ya kiswahili.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]yaani huyu hata akiwa amerelux anakunja sura,muone hapo.

ndio maana hata kwenye michango humu huwa ni mtu wa kiwaka 24hrs[emoji16][emoji16].
 

Nazani uko sahihi mkuu
 
Watchman, ushamkimbiza huyo harudi Tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…