Jamaa kwao flyover hutumia udongo na fito[emoji23][emoji23]kkkkk....kwa hiyo flyover zenu zimetumia udongo na fito?ebu jengeni mwanzo ndio mje hapa.sisi zimetuchosha.sijambo la kushobokea tena huku kwetu
LOL unaongea nini wewe?Kenya hakuna siku jamaa walifanya vurugu kabla ya uchaguzi, watu huoiga kura kw amani sana..
poleee...nmejaribu niwezavyo juu nikiandika kizungu ntakupoteza kwenye neno la kwanzaLOL kweli kiswahili kwenu mtihani
Nimesoma mara 10 10 sijaelewa hata ulichoandika 😅😅
amenishangaza huyu kibwengo ati zetu zatumia tofali zao nizakisasa...ata sikumuelewa😂😂😂😂😂Jamaa kwao flyover hutumia udongo na fito[emoji23][emoji23]
Usinichekeshe jamani
Nimeshamuelewesha kichaa mwenzio kwamba sio kizungu ni kiingereza.poleee...nmejaribu niwezavyo juu nikiandika kizungu ntakupoteza kwenye neno la kwanza
Sasa huelewi nini wakati zenu ni za matofali ya kuchoma? Ninyi mna flyovers au mlundikano wa matofali ya kuchoma?amenishangaza huyu kibwengo ati zetu zatumia tofali zao nizakisasa...ata sikumuelewa😂😂😂😂😂
we nawe unarudi hoja hiyohiyo?zenu mmejenga kwa fito na udongo?Sasa huelewi nini wakati zenu ni za matofali ya kuchoma? Ninyi mna flyovers au mlundikano wa matofali ya kuchoma?
Huwezi linganisha flyovers with pillars na zenu za brick wallswe nawe unarudi hoja hiyohiyo?zenu mmejenga kwa fito na udongo?
hebu leta izo zenu tuone apa...kkkkkkHuwezi linganisha flyovers with pillars na zenu za brick walls
Huu uchafu ni flyover tu Kunyaland 😅😅😅hebu leta izo zenu tuone apa...kkkkkk
wacha kutapatapa..leta zenu tuone.Huu uchafu ni flyover tu Kunyaland 😅😅😅
Outside Kunyaland this is load of shit
View attachment 1629444
Angalia huu ushubwada 😅😅😅wacha kutapatapa..leta zenu tuone.
Humo walipojengelea tofali wanafuga kuku au[emoji28][emoji28]Angalia huu ushubwada [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1629447
are you done???now leta ya ubungo uwe umemaliza za kwenuAngalia huu ushubwada 😅😅😅View attachment 1629447
Hawa watu ujenzi wao kuanzia wa nyumba mpaka miundombinu upo kiduanzi-duanzi tu 😅😅Humo walipojengelea tofali wanafuga kuku au[emoji28][emoji28]
Kheee!![emoji23][emoji23][emoji23]Sasa huelewi nini wakati zenu ni za matofali ya kuchoma? Ninyi mna flyovers au mlundikano wa matofali ya kuchoma?
Tupe flyover ya matofali kenyaHuwezi linganisha flyovers with pillars na zenu za brick walls
Hyo ni overpass jomba[emoji23][emoji23]Huu uchafu ni flyover tu Kunyaland [emoji28][emoji28][emoji28]
Outside Kunyaland this is load of shit
View attachment 1629444