Eti wavumilie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama lipi eleza hapa ueleweke individual like what ??? Kama kura kila mmoja alipiga individual so ulitaka iweje???
nani anadai mafao yake na kama yupo taasisi husika zipo nssf zipo aende na kama wakithibitisha kweli lazima alipwe tu
hakuna miaka ambayo wastaafu wamenufaika kama awamu ya magufuli, na linapokuja swala la nyongeza mbona magufuli alieka wazi kua ataongeza lakini wamvumilie aweke mambo sawa ya kimaendeleo
kodi gani imepanda ???? Tuelezee wakat kodi zote za mazao zimefutwa haya tuambie ww kodi gani???? Nasubiria
Nakushangaa kama alikamata mbona iliachiliwa bila ya chochote hii nchi mzee inasheria tena madhubuti 😂😂😂Hhhhhh!!nimeongea kitu kimoja tu ndio kimekufanya upayuke hvo...
Hapa hupindishi mada kabisa, ukweli ni mnasubiria mkulima azikamate tena ndio mkaandamane nje ya balozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake hilo ndio jambo la msingi sana kw watanzania mitaani
Tangia aingie madarakani kalipa watu elfu kumi pekeake posho zao, tena hao bila shaka ni wale waliokua wanaenda kudai mara kwa mara au hata kuachi kitu kidogo kwa wale wanaohusika..lkn wale ngangari wanaotaka haki 100% watasubiri sanaWastaafu gani wakat awamu hii imejitahidi sana kuwalipa wastaafu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
WASTAAFU 10,000 WA PSSSF WALIOKUWA WANADAI MALIMBIKIZO YA PENSHENI YA MKUPUO NA ILE YA KILA MWEZI WALIPWA BILIONI 880
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma, (PSSSF) umefanya malipo ya zaidi ya shilingi bilioni 880 ...issamichuzi.blogspot.com
View attachment 1624859
👇👇👇👇😂 way to go, hii sio kenya mzee na hii ni kila mwakaEti wavumilie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi pia biadhaa aziambie zisipande zivumilie kwanza..
Alafu mbona umekua mkali, kwn kuna awamu gani inayotoza kodi lukuki km ya magu..
Hapa unabonga kumtetea jiwe ni km ywakujua..
Wastaafu walionufaika wapi hao, au unamaanisha marais wastaafu kujengewa majumba sio[emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122]
Siku mtarudi sauzi atazikamata ndio muandamane tena[emoji1787][emoji1787]Nakushangaa kama alikamata mbona iliachiliwa bila ya chochote hii nchi mzee inasheria tena madhubuti [emoji23][emoji23][emoji23]
Na siku akikamata nitag mm nasubiria [emoji28]
Hapa hupindishi mada jomba, wastaafu walionufaika ni akina jakaya sio[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23] way to go, hii sio kenya mzee na hii ni kila mwaka
😂😂😂😂👇👇👇 same yearTangia aingie madarakani kalipa watu elfu kumi pekeake posho zao, tena hao bila shaka ni wale waliokua wanaenda kudai mara kwa mara au hata kuachi kitu kidogo kwa wale wanaohusika..lkn wale ngangari wanaotaka haki 100% watasubiri sana
Uheheheheheh so air tanzania inakunyima usingizi 😂😂😂Siku mtarudi sauzi atazikamata ndio muandamane tena[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂 umetoka kwenye mfumuko wa bei umeshiba bakora sasa umerudi tenaHapa hupindishi mada jomba, wastaafu walionufaika ni akina jakaya sio[emoji1787][emoji1787]
Kwahyo tuandamane tu bila 7bu ya msingi umerogwa au ni ww mwenyewe.Bwahahaa!!kwn maandano ni kwa ajili ya uchaguzi ya uchaguzi pekeeake..yale yapo kikatiba na unafuata kanuni na kuingia barabarani kudai haki yako...
Tatizo north korea wa upande wa south kudai haki yako ni kosa la jinai
Kama ni haki yao kwann wasilipwe haki zao hilo ndio swali 😄😄😄 nilikwambia hakuna kipindi watu serekalini wamefaidi matunda kama kipindi cha maguHapa hupindishi mada jomba, wastaafu walionufaika ni akina jakaya sio[emoji1787][emoji1787]
Huyo niachie kwa leo naskia baridi plz niachie kwanza nimalizane nae 😂😂😂😂Kwahyo tuandamane tu bila 7bu ya msingi umerogwa au ni ww mwenyewe.
Mbowe vipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ni haki yao kwann wasilipwe haki zao hilo ndio swali [emoji1][emoji1][emoji1] nilikwambia hakuna kipindi watu serekalini wamefaidi matunda kama kipindi cha magu
Ndege ndio sababau ya msingi ya kuandama bongo[emoji1787][emoji1787]Kwahyo tuandamane tu bila 7bu ya msingi umerogwa au ni ww mwenyewe.
So mbowe kafanya nn ??? Au nayeye ni mstaafuMbowe vipi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzako nilimpiga rungu juzi hapo kw umeme karudi akilialia[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetoka kwenye mfumuko wa bei umeshiba bakora sasa umerudi tena
unataka kufananisha bei ya bidhaa tanzania na kenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ikiwa bei ya umeme kwenu ni mara tatu ya huku
Umeme so unataka kusema munanua umeme bei rahisi kuliko tanzania au???Mwenzako nilimpiga rungu juzi hapo kw umeme karudi akilialia[emoji1787][emoji1787]
Hahahah!!si jamaa kamaliza term mbili, au kwenu mstaafu ni mpkaa aachane na siasa kabisaSo mbowe kafanya nn ??? Au nayeye ni mstaafu
Sasa hiyo kazi ilikuwa yako!?Hahaha!!mambo ya hillary na kuhusu watanzania kuminywa kujieleza au kudai haki zao yanahusianaje...
Hapa tunaongelea kuhusu bongo, mtu anaweza timuliwa kazi na akrudi kulima mihogo bila hata ya kujaribu kwenda mahakamani..
Kwhyo na wewe unataka kusema tunanunua umeme kw bei mara tatu yenu?Umeme so unataka kusema munanua umeme bei rahisi kuliko tanzania au???