Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Mimi sio mjinga dogo,mimi nina familia siwezi nikawaza eti niandamane kisa na mkasa eti lissu kaibiwa kura!!..watanzania hawana ujinga huo,watanzania wana-reason kwanza kabla ya kufanya maamuzi,hawaokotwi kama mang'ombe au makenya,lissu yuko zake belgium huko wewe huku bongo unavunjwa mbavu,hiyo akili au ubwabwa???!!!..mimi kama siridhiki na ccm asa hivi niko zangu zambia au brazil nafanya mambo mengineJamaa keshawaoza kw policcm tayari, jamaa mpka wanaita wachumba siku hizi[emoji1787]
Hao beberu wako tunawaminya kende kila siku,kwani wana hamu na sisi!!??..wakisia tu jina Tanzania wanaanza kujambajamba...nyie ndo rafiki zenu huwa mnawachekea ndo maana wamewafanya nguruwe wa majaribio,kwa sababu hamjielewiKawahongeni hao mabeberu na nyie wawape hyo paper economy muanze kupata private investors kw wingi..
Tena ile siku mtawahonga mpewe hyo paper economy, tra wataanza kukusanya mpunga wa maana sana..AU na UN headquarters zitahamia tanzania
Basi tulieni wazidi kutupa huo uchumi wa makaratasi ambao unatufanya tunakusanya hela nyingi sana kupitia tax..Hao beberu wako tunawaminya kende kila siku,kwani wana hamu na sisi!!??..wakisia tu jina Tanzania wanaanza kujambajamba...nyie ndo rafiki zenu huwa mnawachekea ndo maana wamewafanya nguruwe wa majaribio,kwa sababu hamjielewi
Naamini humu wapo pia waliosoma kwa Commissioner au Muddy Physics kule mchikichini, mwamba wetu ametutoka, RIP[emoji116][emoji116]
TANZIA - Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa: Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER. Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa. Innallillah wainnallilah raajuni...www.jamiiforums.com
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa..
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale mchikichini..
MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER . .
Amefariki dunia jioni hii..
Tumuombeni dunian hyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hvi sasa..
Innallillah wainnallilah raajuni
Uzi kuhusu maisha na waalimu wa mchinikichini
https://www.jamiiforums.com/threads...ie-vituko-tulivyokutana-navyo.1377268/page-16
Fikra za kizamani kweli, kwhyo mtu akiandamana kutetea haki yake huvunjwa miguu tayari...Mimi sio mjinga dogo,mimi nina familia siwezi nikawaza eti niandamane kisa na mkasa eti lissu kaibiwa kura!!..watanzania hawana ujinga huo,watanzania wana-reason kwanza kabla ya kufanya maamuzi,hawaokotwi kama mang'ombe au makenya,lissu yuko zake belgium huko wewe huku bongo unavunjwa mbavu,hiyo akili au ubwabwa???!!!..mimi kama siridhiki na ccm asa hivi niko zangu zambia au brazil nafanya mambo mengine
Bado zamu yenu 2022,na jinsi mlivyo na ubwabwa kichwani,lazima mgongane,uchaguzi mwaka 2022 siasa zimeanza tangu juzi *****...
G.O.A.T, inna llillah wainailayh raajiunNaamini humu wapo pia waliosoma kwa Commissioner au Muddy Physics kule mchikichini, mwamba wetu ametutoka, RIP[emoji116][emoji116]
TANZIA - Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa: Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER. Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa. Innallillah wainnallilah raajuni...www.jamiiforums.com
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa..
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale mchikichini..
MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER . .
Amefariki dunia jioni hii..
Tumuombeni dunian hyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hvi sasa..
Innallillah wainnallilah raajuni
Uzi kuhusu maisha na waalimu wa mchinikichini
https://www.jamiiforums.com/threads...ie-vituko-tulivyokutana-navyo.1377268/page-16
Yah G.O.A.TG.O.A.T, inna llillah wainailayh raajiun
Hivi mkuu hakutakuwa na madaraja ya watu kuvuka kwenda upande wa pili wa reli kwenye stesheni, mfano angalia ruvu Stationsubir.. kuna mtu nimemuuliza.. akijibu nitaleta huku
Inapigwa Flyover mzeeJana nilipita "majumba sita" pale sija elewa wanafanyaje au ile njia inakufa maana hamna daraja pale
LOL angalia mlivyo obsessed na Tanzania, yaani mnafatilia every utopolo
We poyoyo kweli hujawa na familia bado ndo maana unaongea upupuFikra za kizamani kweli, kwhyo mtu akiandamana kutetea haki yake huvunjwa miguu tayari...
Utapigwa km umeanza kupimana nguvu na polisi, ukiandamana alafu uanze kurusha polisi mawe lazima upigwe..
Lkn bongo hata kuandamana ni kosa la jinai hku waume zenu policcm wakiskia mmetia niya ya kuandama hutamano mtokee wawavake kiamuamu
Kwanza mtoto wa kiume utaogopaje polisi, kwn uliambiwa polisi sio bindamu.polisi mheshimu tu lkn ukiona km anakuvunjia heshima kinukishe..
Lkn wabongo mnakubali kuvakwa na polisi tena mchana kweupe
Basi tulieni wazidi kutupa huo uchumi wa makaratasi ambao unatufanya tunakusanya hela nyingi sana kupitia tax..
Hku wawekezaji wa nje na wa ndani wakiwa maradufu na kufanya compee na serekali upo?
Huo huo uchumi wa kwenye makaratasi ndio umetufanya tunawapiga bao kw trade deals EA..
Uchumi wa makaratasi umeiwezesha company za kenya kufungua matawi nchi jirani..
Uchumi wa kwenye makaratasi umetuwezesha kampuni moja yetu kuingiza faida sawia na kampuni kumi za tz..
Niendeler na uchumi wetu wa makaratasi
Video ya Feb 2021...Mungu akitupa Uhai...kila kitu kitakuwa tayari0-20km bado kazi ila kuanzia 20 hadi Moro bado viporo vichache sana
Yeah hapo ndani ya miezi mitatu kinaweza kuwa tayar..wakifanya testing kwa miezi miwili May-June 2021..tunaweza panda treniYah kuanzia 0-24km hv bado ila kutoka hapo eneo kubwa tayari aiseee, inafariji sn.