The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hyo apo chini ni render ya Kisutu market, zipo nyingi sana mpk mtaani kwetu huku uswazi zipo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Hicho apo chini ndiyo kijiji cha michezo, tuna plan ya kuandaa Afcon miaka michache ijayo, ona viwanja vya heshima vipo sehemu moja na wala hatujali bado tunajenga vingine mfano kile cha Dodoma ndo kitakuwa kikubwa Afrika nzima [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Hyo apo ndiyo electric Railway inapatikana tu Tz hapa Afrika mashariki na kati, angalia quality yake hata kuna baadhi ya nchi za ulaya hazina reli km hii, bado mna wasi wasi na Tz jameni [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Tazama rangi za bendera yetu vile zinapendeza, angalia uyo mtoto alivyopendeza na culture yake ya Tz mkononi, nna hakika umkaribii hata kdg ww janerose wa kibera [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Tukisema Tz ndiyo Super power hapa East Afrika muwe mnaelewa, yn hii bus terminal ni kali na nzr kuliko JKIA na wala hatujali bado tunajenga vingi vingine [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Tukisema kenya bado kushindana na Tz mnalia, hebu tazama technology iliyotumika kujenga hyo road na wala hatujali bado tunajenga [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Leo nakukomesha leo, tazama road quality af niletee road iliyo quality km hii kenya nzima nitoke Jf [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa heshimu WAJINGA epuka balaa.NEVER try to teach a FOOLISH becoz a Dead body and a Dead brain can never be "Alive"
Kama hivi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama hivi...View attachment 1622719
Wewe nilishasema ndio mjinga nambari moja kwa hii forum siezi bishana na fala kama weweTazama rangi za bendera yetu vile zinapendeza, angalia uyo mtoto alivyopendeza na culture yake ya Tz mkononi, nna hakika umkaribii hata kdg ww janerose wa kibera [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1622711View attachment 1622713
Mna nini kwenye County government zaidi ya kuongeza government expenditures?A good move, lakini kwa opinion yangu, county government system in Tanzania can work 'magic', more than that! Serikali ya majimbo inaweza peleka Tz kwa mwendo wa kasi, yaani economy will be Turbo charged! Mtazamo wangu kutokana na vile nimeona impact yake hapa Kenya, na Tz is full of natural resources almost all around the country.
Ss wewe janerose nawe ulikuwa unaamini kabisa kwamba kenya inazd Tz, ona wenzenu shule ilivyotusaidia kutupa ustaarabu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Wewe nilishasema ndio mjinga nambari moja kwa hii forum siezi bishana na fala kama wewe